ππππ *π ± professional love*πππππππππππππππHATUA ZA KUZUNGUMZA NA MPENZI WAKO ALIEKASIRIKAππππππππππππππππ π©π§Kwenye mapenzi kuna nyakati za kutofautiana, kukasirishana. Katika hali ya kawada kipindi hiki huwa ni za hatari kwa sababu husababisha nyufa kubwa za uhusiano na kulifanya penzi kukosa ladha. π©π§Sote tunajua, watu hupigana, huachana, hujeruhiana, hutukanana, hudhalilishana wakiwa na hasira. Hata hivyo si wote wanaojua wafanye nini wanapojikuta wameingia kwenye hatua hiyo mbaya. π©π§ hebu jaribu kukumbuka ugomvi mmoja uliotokea kati yako na mpenzi wako na ikiwezekana jikumbushe mlivyoanza! Utabaini kuwa mlianza kama utani na mkajikuta mmefura kwa hasira, mkatwangana makonde, mkatamkiana maneno makali ya kuudhi na pengine mkaamua kuachana. Yote hii ni kwa sababu mlikosa elimu ya mazungumzo. Ingekuwa mmoja wenu hasa yule aliyekuwa wa pili kukasirika anafahamu hatua za kuzungumza na mtu aliyekasirika angechukua jukumu la kutuliza machafuko na kuleta amani kwenye mapenzi. πππππππππππ Tazama hatua tano za kuzungumza na mpenzi aliyekasirika. π π MPUNGUZE MHEMKO Hasira hujaza kifua, huathiri mzunguko wa damu na ufahamu. Mtu aliyekasirika huwa vigumu kwake kusikiliza au kutazama mambo kwa jicho la tatu. Mwenye hasira huwa hafikirii matokea yajayo badala yake hutazama zaidi tukio na jinsi ya kupata ushindi iwe kwa maneno au kwa mapambano. Katika hali ya namna hiyo, mtu mwingine akija na busara za kutaka kumgeuza haraka haraka hawezi kumuelewa. Muhimu hapo ni kuacha kumwadama, kujibizana naye, kumshawishi asikilize badala yake mpe nafasi ya kusema atakavyo, abwate ajuavyo huku wewe ukimuitikia na kumkubalia lawama zake. “Basi mpenzi mwenye makosa ni mimi.” Kauli za aina hii zitampunguza hasira kwani atajiona msindi. π π MSOME SAIKOLOJIA YAKE Kwa kuwa unamfahamu mpenzi wako kwa kina itakuwa rahisi kwako kumtambua kuwa amepunguza hasira na kurudi katika hali yake ya kawaida. Ukisha fahamu hilo chukua jukumu la kumsoma kisaikojia ili kujua kama yuko kwenye hali nzuri ya kusikiliza yale uliyotaka kumwambia wakati alipokuwa na hasira. Zoezi hili linaweza kuchukua saa kadhaa na wakati mwingine hata siku mbili. Lengo ni nini? Ni kupata matokeo sahihi ya kuondoa chuki za mwenza wako na kumfundisha madhara ya kukasirika kwenye uhusiano wenu wa kimapenzi. “J, nakupenda sana, lakini juzi uliniumiza, uliniambia mimi malaya kwa kosa ambalo sikufanya?” Bila shaka muda huo atakusikiliza zaidi kuliko ungebishana naye alipokuwa na hasira. π π MRUHUSU AKUJIBU Pamoja na kumsoma kisaikojia na kumwambia kinagaubaga makosa yake, usimzuie kujitetea, mpe nafasi ya kuzungumzia kilichomkasirisha. “Unaona bado unanitukana, sasa naamini siku ile ulikuwa umedhamilia.” Usisiseme hivyo, mwache ajibu hoja hata kama atakuwa anakukandamiza na kuzidi kujijengea ushindi. Mvumilie aoshe ubongo wake π π. EPUKA MARUMBANO Kama nilivyosema kwenye hapo juu, wapenzi wengine huwa wagumu kuelewa, ni watu wa kuficha udhaifu wao na kutopenda kuonekana wamekosea. Watu wa namna hii unapowarejeshea mazungumzo wanaweza kujikuta wanahamaki tena. “Kwa hiyo ulikuwa unasemaje…nilifanya ndiyo,… wewe unaamuaje?” Mkifika kwenye alama hiyo usikubali kurumabana naye mwache aseme halafu wewe ingia kwenye hatua ya tano. π π MUOMBE MSAMAHA Hata kama atakuwa yeye ndiye mwenye makosa na amekataa kukiri, usijali, chukua jukumu la kumuomba msamaha na kueleza tena nia yako ya mazungumzo ilikuwa ni kuelewana si kugombana. Kumbuka hata kama amekiri kosa, bado unatakiwa kumuomba radhi kwa kurejea yaliyopita. “Mpenzi inawezekana nikawa nimekuudhi kwa niliyosema, nakuomba sana tusameheane.” πππππππππ Bila shaka kwa haya machache utakuwa umejifunza na kuchukua hatua za kuzuia migogoro mikubwa inayotokana na hasira za mpenzi wako. ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππchuo cha mahaba ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Menu
Blog Archive
-
▼
2022
(725)
-
▼
July 2022
(725)
- Making Out With Mom
- My Sister Eva Started It All
- Mom Takes A Ride
- Great Sex Tips
- Great Sex Guide
- Great Sex Games
- Erotic hot sex This book includes
- Couples Sex Guide Better Sex For You and Your Part...
- Cunnilingus 101
- Cosmo's Sexy Sutra 101 Epic Sex Positions
- Erotic hot sex - 2 books in 1 - Sex positions for ...
- 365 Nights of Passion
- 365 Nights of Passion (2)
- 100 Hot Sex Positions
- 100 Hot Sex Positions (2)
- 08 - 10
- 01 - 3
- 09 - 2
- 09 - 3
- 09 - 4
- 09 - 6
- 09 - 8
- 09 - 10
- Cosmo's Sexy Sutra 101 Epic Sex Positions (2)
- 26:24 NOW PLAYING Logs Delivery | Euro Truck Simul...
- Connoisseur's Sex Guide
- NYUMA NA MBELE
- SEX CHAT
- SEX MACHINE
- SHUSHA NYEGEZI
- STYLE 8 BAO 1
- TARATIBU MPENZI
- TOTO LA KAMBO
- UJI MZITO
- UTANI UTANI MPAKA
- DOGII
- MAMA TOMBATI
- MICHEZO HATARI
- MITEGO YA MZAZI MWENZA
- MKE 1 WAUME 2
- MKE WA KURITHI
- MOTO KWA MPALANGE
- NDEFU NENE
- NIPE KONEKSHENI
- NITAKUPA LAKINI NIMEOLEWA
- KEI YA MCHONGO
- KWA MPALANGE
- KY
- LOVE AND LAW
- MAMA J
- CHIZI MNYONYAJI
- CHUMVINI
- KILELENI
- KITU MNARA
- KITUMBUA CHA LOVENESS
- LIMBWATA
- MALAYA WA BUGURUNI
- MDUDU
- MLEMAVU KADINDA
- MUUZA SUPU
- NIKUNE HAPA
- NILIVYOCHUMA MCHICHA MBELE YA SPONSA
- PAKA WESE
- PAULA MAGLASI
- PROJECT X
- SUUZA RUNGU
- UTAMU WA MECHI KIWANJA
- NAINGIZA KICHWA TU
- 69 XXX
- BABU MKOJOZAJI
- BABY SIO HUKO
- BARA NA PWANI
- DADY NIKOJOLEE
- DILI LA X
- FAKI MI
- G SPOT
- HASIRA ZA MWANAMKE
- INABANA HALAFU TAMU
- JICHO LA NYUMA
- KANIKULA ILA KWA MBINDE
- KATERERO
- SHOSTI TUCHATI
- SHOO YA MSUKUMA
- SEX BEACH
- NIKOJOZE
- NAWASHWA BILA KIKOMO
- MKE WA PILI
- MKE MWENZA
- MDUDU
- MAMA KUBWA
- KULA PUSI
- KOJO LA SHEMEJI
- KINYAMA CHA HAMU
- KICHECHE
- KEI MNATO
- FUNDI CHEREHANI
- CHACHANDU YA MUHOGO
- BAO
- DUDU KOJOLEA
- CHUCHU KONZI
-
▼
July 2022
(725)