Search This Blog

Sunday, July 24, 2022

UJI MZITO

    

MTUNZI : GEOFREY MALWA



Waswahili husema ni bora kukata kiuno kuliko kukata tamaa kwenye maisha, kila mtu huwa na ndoto yake, sio ile inayotawala ukiwa umelala bali ile inayokufanya usilale. Katika chombezo hili tutamzungumzia kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Mbosoni Kakei. Ni mhitimu wa chuo cha veta mahiri kwenye masuala ya umeme. Alitoka na cheti kizuri sana lakini ndio hivyo nchi yetu basi la ajira limepotelea kusikojulikana.

Juhudi za kutafuta kazi mjini ndizo zilizomwokoa na kuufanya mkono wake uende kinywani. Alipanga chumba ambacho hakikuwa katika hali mbaya sana. Hata kama siku akiwa hana uhakika wa kupata kazi, hakukaa nyumbani, alitoka kutembea akiamini mkaa bure sio sawa na mtembea bure.

Kila siku alfajiri lazima Mbosoni aamke na kwenda uwanjani kufanya mazoezi, huko hukutana na watu mbalimbali, vijana wa kike kwa wa kiume, kinamama na kinababa, mpaka wazee, hivyo hujumuika nao. Siku zote alikuwa akifanya mazoezi na kuondoka lakini siku hiyo aliamua kuwashirikisha wanamazoezi hao juu ya ujuzi wake akiamini riziki popote. Walipomaliza mazoezi aliwakusanya pamoja wengine walikuwa kama wazazi wake. Mbosoni alishangaa baada ya kuwaambia walimpongeza na wakakubali kuchukua mawasiliano yake, hilo likawa jambo jema sana kwa Mbosoni.

Hisia ni kitu cha ajabu sana, siku hizo zote alizokuwa akienda mazoezi, alikuwa akimtamani sana mama Fulani wa kikubwa ambaye alikuwa akija mazoezini na mume wake. Mama huyo ni kweli Mungu alimbariki umbo la kutochoka mapema, alikuwa ni mzuri kupita maelezo, “enzi za ujana wake alikuwaje?” lilikuwa ni swali alilojiuliza Mbosoni asipate jibu. Hakuwahi kumsemesha wala kumsogelea kwa karibu hata siku moja, aliishia kumpiga kijicho Fulani cha matamanio, na kuna muda walikutanisha macho yao, huyo mama na Mbosoni kisha kupotezeana.

Zilipita wiki mbili bila kuona simu yeyote kutoka kwa wale aliokuwa akifanya nao mazoezi. Sifa mojawapo ya wale waliokuwa akifanya mazoezi nao, ni pochi nene. Hawakuwa watu wa shida, kwanza walikuja uwanjani na magari yao, bado Mbosoni hakujua kwanini hawaendi ‘gym’ wanakimbilia uwanjani kufanya mazoezi, au hata nyumbani kwao isingeshindikana kutenga sehemu ya kufanyia mazoezi.

Siku hiyo mchana nikiwa kwa mchaga Fulani nikimfanyia ‘wayaringi’ nyumba yake. nilipigiwa na namba ngeni, kwangu namba ngeni huwa ni muhimu kama mwandishi wa hadithi kupitia mitandao ya kijamii maana asilimia kubwa huwa ni wateja, nilipokea,
“Sasa, unaongea na mzee Lomo hapa,”
“Ndio baba yangu heshima yako!”
“Ahsante, nyumbani kwangu kuna shida, nakuomba uende halafu utasaidizana na huyo fundi utakayemkuta hapo,”
“Sawa, nashukuru sana,”
“Nimeona nikushirikishe ili upate riziki na wewe ndugu yetu,”
“Ahsante mzee wangu ubarikiwe, nitumie maelekezo ya kufika kwako na sitachukua muda.” Basi mzee huyo aliyejitambulisha kuwa ni mzee Lomo, alimtumia maelekezo kisha akamtoroka mchaga wake na kuelekea alipopigiwa simu, hisia zake zilimtuma atakuwa ni mmoja kati ya wale matajiri anaofanya nao mazoezi alfariji.

Mpaka kwa huyo mzee, Mbosoni aliwasili, kilichomwezesha kuwahi katika kazi zake ni usafiri wa pikipiki aliyokuwa nao ambayo ilikuwa katika hali mbaya kweli. Kwanza hata kuingia ndani ya hilo geti haikuruhusiwa, yeye pekee ndio alifanikiwa
kuingia. Ilikuwa ni nyumba ya kifahari, kwanza hiyo mitaa yenyewe ni ya kifahari kweli.

Alhamdulilahi! Hamadi bin vuu! Huyo hapo yule mama aliyekuwa akitamaniwa sana mazoezini na Mbosoni. Hakuamini macho yake, na hapo ndipo alipozihakikisha hisia zake kuwa ni kweli simu hiyo ilitoka miongoni mwa matajiri aliokuwa akifanya nao mazoezi,
“Khe! Karibu mwanamazoezi,” alisema huyo mama,
“Ahsante, shikamoo mama,”
“Marhaba, karibu sana Jamani, jisikie huru,”
“Ahsante,” kwa maongezi hayo, yalimsogeza Mbosoni mpaka sebuleni na kuketi. Masikini Mbosoni wa watu sijui hisia zilimpeleka wapi, alipoona tu chura ya huyo mama ikipigana vikumbo ndani ya khanga, tayari msumari wake ulishajiandaa kugongelea…ITAENDELEA

UJI MZITO-02

Mama la mama alirejea sebuleni akiwa na glasi ya juisi ya embe iliyotoka kwenye jokofu. Alimpa Mbosoni kisha yeye akaketi kwenye sofa la jirani, mama hakuwa haba, alijaaliwa weupe usiokuwa hata na doa, umbo halisi la kiafrika, huo uso ndio usiseme, yaani kama mtoto kumbe ni mtu mzima. Hilo umbo lilijaa ushawishi kuliko hata ulivyoweza kumfikiria, sasa kama wakati alipokuwa akiketi sofani, kile kikhanga chake kilifunuka na kumfanya Mbosoni afanye utalii wa ndani uliozidi kuutia msumari wake joto la hasira.
“Hivi ndio unaitwa nani?” alimhoji
“Mbosoni,”
“Ooh! Karibu sana, ila mimi napenda sana kuwaita watu majina yao kifupi,”
“Aah! Mimi kifupi huwa sina, watu huwa wananiambia kifupi cha jina langu ni jina la msanii maarufu huku wengine wakisema wakilifupisha zaidi itakuwa sio jina zuri japo ndio watu wengi wananiita hivyo,” Mbosoni aliongea hivyo, basi huyo mama alicheka ile ya kushtukiza kisha akamkata kijicho Fulani Mbosoni
“Hiko kifupi ndio wanakuitaje?” Alihoji huyo mama huku sura yake ikiwa katika hali ya kutaka kuangua kicheko
“Yaani mama we acha tu,”
“Haya bwana.”
Mbosoni hapo sebuleni unafikiri ile juisi ilikuwa inashuka! Ni kama kulikuwa na kitu kimemkaba kooni, alimtamani huyo mama mpaka kuna muda alitaka amtongoze ila roho ikasita kufanya hivyo.

Kabla hata ya kupita sekunde thelathini, honi ya gari ilisikika. Mlinzi akafungua geti,
“Huyo atakuwa fundi mwenzako,” alisema mama huyo
“Samahani mama, hivi unaitwa mama nani?” swali hilo lilimfanya awe mpole ghafla usoni, ni kama lilikuwa na ganzi iliyomwingia mama huyo, ilinibidi Mbosoni ajirudi
“Samahani mama kama nimekukwaza,” alilimtaka radhi, mama huyo hakumjibu kitu bali aliingia ndani.
Mbosoni alichukua kama dakika moja kuwaza kitendo hiko, aliona atoke nje. Alipotoka tu alikutana na rafiki yake wa muda mrefu sana waliyesoma wote shule ya msingi na sekondari. Kwa jina aliitwa Sadick, walikumbatiana kwa furaha na kuanza kushangaana kwanza, kila mmoja alimshambulia mwenzake kwa maswali yaliyolenga kukumbushana enzi hizo wakiwa shuleni.

Basi walifanya kazi wote kwa ushirikiano kutatua tatizo kwenye eneo hilo, walikuwa watu wa utani sana,
“Naona sasahivi unang’aa tu, maisha mazuri gari ya kufanyia kazi,” aliongea hivyo Mbosoni
“Tulia mbo, mbona unasimama na hujaonyeshwa utamu,”
“Sio hivyo Dick, maisha magumu ujue!”
“Hayo tutaongea, kwanza nikuulize kitu,”
“Huo mkao lazima uulize kuhusu wanawake,” wote walicheka kwasababu walijuana sana
“Huyu mama namtamani tangu kitambo ila ni muoga na hapendi mambo ya kuzoeana, sasa…”
“Sasa nini?”
“Nimekuona ukitokea ndani, sijawahi kukaribishwa ndani, na muda mwingine nikifanya kazi hapa kwake huwa hata hatuonani, anajifungia ndani,”
“Yaani wewe hunizidi mimi, huyu mama mimi nampenda yaani kabisa! Hata angesema amwache bwana wake mimi nimuoe niko tayari, yaani pale kukaa naye tu tayari msumari ulishaanza kakamaa kama mgonjwa wa kifafa rafiki yangu,”
“Kwahiyo umeongea naye kabisa?”
“Ndio, mpaka juisi amenipa,”
“Juisi kabisa! Wewe (tusi..) ameshakupenda,”
“Ni ukarimu wake tu nadhani ila sikufichi Dick, huyu mama nimempenda kuliko masihara, huwa najizuia kila siku ninapokwenda mazoezi lakini wapi! Halafu kibaya zaidi kila ninapomwona sikufichi, hata kama nina shida zinaisha kaka!”
“Wewe umpende mtu! Wewe kabisa! Sema unataka kuhudumiwa nitakuelewa!”
“Kitu kingine ujue hajazaa,”
“Kweli?”
“Ndio, halafu huyo mzee anapiga vitoto vya seko asikwambie mtu,”
“Daah! Yaani mwanamke mzuri vile halafu unamsaliti, kweli hata ukifa utaunguzwa kwa kuchochewa na ile kuni kubwa kuliko zote iliyoko jehanamu,” wote wakacheka sana.

Kumbe wakati wote wanaongea, mhusika aliyekuwa akizungumziwa alikuwa akiwasikia kwasababu eneo walikofanyia kazi halikuwa mbali na dirisha. Kutoka ndani ya moyo wake alifarijika sana kusikia anapendwa tena na kijana, na amekiri kuwa sio pesa ndio lengo lake…ITAENDELEA

UJI MZITO-03

“Kumbe kijana wa watu alikuwa amesimamisha muda ule? Kha! Ina maana bado nalipa eeh!”
Alijisemea hivyo moyoni huku akiendelea kumwangalia Mbosoni na kuzidi kumweka akilini. Mbosoni na Dick walipomaliza kurekebisha tatizo ambalo ilikuwa ni shoti ya kawaida tu, ilibidi wamuage huyo mama.
“Sitaki kukujazia nzi, wewe nenda,” Dick aliongea hivyo
“Twende wote bwana,” alisema Mbosoni
“Ngoja nikamtongoze!” Dick aliposema tu hivyo, Mbosoni alimzuia na kumtaka abaki
“Kumbe una wivu! Utakufa kumpenda mke wa mtu,”
“Kwa huyu mama acha nife tu!” maneno yote aliyoyaongea mbosoni, mama aliyasikia na yakamwingia akilini. Alibaki akitabasamu tu, aliwafaidi kwasababu vioo vya madirisha vilimwezesha kuona nje bila yeye kuonwa ndani.

Mbosoni alisogea mpaka mlangoni na kubisha hodi, alikaribishwa mpaka ndani, akakuta meza imechafuka, palikuwepo na chipsi pamoja na kuku wa kukaangwa.
“Mezani inabidi ushiriki,”
“Ahsante mama,” alijibu Mbosoni akijifanya ameshiba
“Wewe ni mchoyo eeh?”
“Kwanini mama unasema hivyo?”
“Ukila ndio nitajua wewe sio mchoyo, kwahiyo unatufundisha tukija kwako tusile sio?”
“Hapana,” basi alitoka nje kisha akamwambia Dick kuwa Mbosoni ana kazi nyingine kwahiyo anaweza akaondoka
“Sawa mama.” Dick alipojibu hivyo aliwasha gari kisha akaondoka

Sasa huku ndani Mbosoni alianza kutilia shaka ukarimu huo wa huyo mama, akahisi kupendelewa ila hakuwa na uhakika. Kwa muda huo mama alijisitiri kidogo japokuwa ndani ya kichwa cha Mbosoni ugonjwa haukumtoka. Alivalia sketi Fulani ujiuji iliyomkaba chura yake, huku juu alivalia blauzi iliyokuwa ikimwacha kidogo eneo la mgongo. Kitu kingine ambacho mama huyo alibarikiwa ni uvaaji wa mavazi yaliyomuweka kwenye chati, yaani ndio kabisa alizidi kuonekana ni mdogo. Hiyo miguu yake Jamani utadhani aliomba kibali kwa Mungu cha kujiumba mwenyewe.

Mbosoni alishambulia msosi huku mama huyo akiwa pembeni yake akila matunda aliyoyaandaa kwenye sahani. Mama huyo akawa anamwangalia Mbosoni kwa umakini jinsi anavyokula kwa ustaharabu, maneno yake ya ucheshi, hazikupita sekunde ishirini bila mama huyo kicheka hali iliyomfanya amwone ajihisi amepewa kampani ya kutosha.
“Mbo!” mama aliita, Mbosoni hakutegemea, ilibaki kidogo apaliwe chakula
“Naam mama,” aliitikia Mbosoni na kumwangalia mama huyo kwa sura ya kutaka kucheka iliyochanganyikana na aibu
“Chakula kitamu!”
“Saaaanaaaa yaani hata hakielezeki,”
“Kitamu kama nini,” hilo swali lilimsisimua Mbosoni na kujikuta akishindwa kumeza kuku huku msumari ukijipigiza ndani ya suruali yake
“Mbo!” alishtuliwa kwa sauti hiyo
“Hamna cha kufananisha kwa kweli,”
“Una uhakika?”
“Ndio,”
“Ila mimi ninajua cha kufanana na huo utamu wa chakula,”
“Nini?”
“Mbo!”
“Umesema?”
“Nimekuita, itika,”
“Abee mama,”
“Umekuwa mwanamke mpaka uitike hivyo?” Mbosoni na huyo mama wakajikuta wamecheka kwa pamoja. Kuna mambo ambayo yalishaanza kumpa ishara za ushindi Mbosoni alizoonyesha huyo mama, moja ni kukubali kumwita Mbo, ikiwa ni kifupi cha jina lake, pili ni kumwandalia chakula ambacho alihitaji ashiriki Mbosoni bila ya kuwa na yule rafiki yake Dick, tatu ni maswali Fulani ya kimtego aliyokuwa akiyauliza mama huyo. Kwa ishara hizo alitamani avunje ukimya lakini alipokumbuka huyo ni mke wa mtu, tena mtu mwenye pesa zake, mwenye uwezo wa kutumia pesa zake kukufanya chochote atakacho, mdomo ulikuwa mzito.

Baada ya chakula kidume kikaribishwa sahani ya matunda, wala hakuvunga, aliishindilia ipasavyo, kitendo kilichomfurahisha yule mama kupita maelezo mpaka mbosoni alishangaa, wakati akiwa anakula matunda, mama alimtaka radhi Mbosoni kwa muda ule alipokaa kimya pindi alipoulizwa anaitwa mama nani,
“Hilo halina shida mama,”…ITAENDELEA

UJI MZITO-04

“Mimi sijabarikiwa kupata watoto,”
“Hilo sio tatizo, hata Sara mke wa Abrahamu alimpata isaka wake uzeeni sana,”
“Sara sio mimi, natamani sana mtoto lakini sina uwezo huo,”
“Mtoto utapata, tena mapacha, huu mwaka hautaisha,”
“Mbosoni niko siriazi,”
“Mama, ninawezaje kukutania?”
“Umejuaje?”
“Ninaamini hivyo, nakuomba uamini pia, kukata kwako tamaa kunaashiria mengi yanayoendelea nyuma ya pazia ambayo kwa majina mengine ningeweza kuyaita ni misumari inayochoma moyoni,”
“Ni kweli, umayajuaje yote hayo?”
“Kwa imani, watu wanaohisiwa kuwa na kasoro, wanahitaji upendo wa kweli kuliko kawaida, wakiukosa huwa wanaishi kwenye mateso sana.”
“Yaani kila neno unaliloongea ni kama ulikuwa moyoni mwangu,”
“Mama!”
“Abee,”
“Nikikuita mama haina shida sio?”
“Ndiyo, kwanini umeuliza hivyo,”
“Nilitaka kujua tu, “
“Au wewe ulihitaji uniite nani?”
“Mama Mbo.” Alipoambiwa hivyo alicheka sana,
“Labda hilo liwe la utani.” Mbosoni alipoambiwa hivyo aliwaza kwa muda mpaka mama huyo akamshtua kwa kumgusa mkono,
“Unawaza nini?”
“Jina la mwanao,”
“Mwanangu yupi?”
“Utakayempata mwaka huu,”
“Kwanini unaamini sana hivyo? Wewe ni malaika au?”
“Hapana, sio malaika, mmmh…nimepata jina!”
“Jina gani?”
“Josefu na Josefina,”
“Watoto wawili ina maana mapacha?”
“Ndio,”
“Wewe Mbo wewe!” mama huyo alikuwa akitilia shaka imani ya Mbosoni juu yake, ila moyoni maneno hayo yalimfariji sana. Moyoni mwake alitaka kukiri kuwa uwepo wa Mbosoni umemfanya kujisikia vizuri sana lakini alisita na kuona kama atakuwa amemvimbisha kichwa Mbosoni.

Kuna wakati kimya kilipita wakiwa wanaangaliana kwa kuibiana, yaani hakukuwa na aliyekuwa na neno kwa mwenzake. Mara mama huyo aliinuka akielekea chumbani kwake, macho ya Mbosoni hayakutua sehemu nyingine zaidi ya kwenye chura iliyokuwa imekaa kichokozi, kile kiuno chembamba ndicho kilichoongeza ushawishi mkubwa. Basi alipoachwa peke yake Mbosoni aliuweka vizuri msumari wake maana ulishajiandaa kugongelea. Akili ya kuondoka haikuwepo kabisa, mama huyo alirejea na albamu ya picha zake, picha zilizomfanya Mbosoni kuongea maneno mengi bila aibu kama alikuwa na mwanamke wa rika lake.

Picha zilikuwa za kichokozi na Mbosoni hakujua kwanini aliweza kuruhusiwa azingalie, kama kuna moja hiyo ilipigwa maeneo ya ufukweni, mtoto wa kike ndani ya kigauni chepesi kiasi kwamba nguo ya ndani iliyokuwa nyekundu ilijionyesha dhahiri,
“Hii hapana!” alitaka kumpokonya Mbosoni picha hiyo
“Sitaki,”
“Lete bwana hiyo usiiangalie,”
“Sikupi.” Mbosono alipokuwa akimjibu hivyo akaanza kumpokonya, kuhangaishana kukaanza, kwavile Mbosoni alikuwa amekaa kwenye kiti, yeye alikuja kwa nyuma na kuinama kidogo kisha mikono yake miwili kuipitisha shingoni mwa mbosoni akiitafuta mikono Mbosoni iliyokuwa katikati ya mapaja ili aichukue picha yake.
“Hiyo picha mbaya bwana,” alisema
“Yaani hata uniue! Hii picha lazima niondoke nayo,”
“Wewe Mbo lete bwana,” aliongea kwa sauti ya kubembeleza kweli,
“Sitaki mimi.” Mbosoni aliongea kwa kudeka, basi katika kurupushani, vidole havina macho, mara parakacha! Kaugusa msumari wa mbosoni uliokuwa wima, alishtuka kwa kuita kabisa “Yesu!” baada ya kushtuka hivyo, kimya kikatawala, zile vurugu za kuhitaji picha yake zikasitishwa kabisa, kwavile Mbosoni alielewa alichokigusa, alikosa cha kuongea,
“Vipi mbona kimya?” alihoji Mbosoni baada ya kumwona ametulia kama amefiwa kwenye kiti chake,
“Basi tu!”
“Na mbona umeshtuka hivyo?”
“Nani, mimi?”
“Ndiyo,”
“Mimi sijashtuka,”
“Ila umefanyaje?”…ITAENDELEA

UJI MZITO-05

“Nimeshangaa tu,”
“Ulichoshangaa?”
“Hatuezeki bati lakini msumari umeshasimamishwa ili ugongelee,” aliongea kimafumbo,
“Tatizo msumari haujapata tu ruhusa, maana huyo mwenye mzumari mwenyewe anatamani kweli kugongelea,”
“Kwa msumari aliokuwa nao, sio haba, ila anaweza kuutumia? Maana kuezeka bati sio kazi ndogo,”
“Umbile la msumari halitabiri kazi nzuri, ila ufundi ndio kila kitu.”
Walijibizana kwa maneno Fulani walioelewana wao kwa wao. Mama huyo alianza kuwa macho ya kivivu, kufumbua tu jicho alitumia kama sekunde tatu. Mkao wake wa kihasara na jinsi midomo yake alivyokuwa akiifanya vilionyesha dhahiri alihitaji kushughulikiwa.

Ghafla simu yake iliita, mama huyo alisonya kabla hata hajajua aliyekuwa akimpigia, aliifuata kwa hasira kisha akaipokea na kuweka sura ya uchangamfu aliyojilazimishia,
“Kweli?”
“Saa ngapi?”
“Najua, juisi ya tikiti, utaikuta shoga yangu,”
“Shemeji yako hayupo, bado hajarudi kazini,”
“Huo ubuyu nausubiri shoga yangu,”
“Sawa usafiri salama.”
Hayo maneno yote aliongea mama huyo akimjibu aliyekuwa akiongea naye, Mbosoni aliyasikia. Basi huyo mama alimgeukia Mbosoni kisha akatabasamu,
“Kuna rafiki yangu Fulani anakuja,”
“Ooh! Sawa, basi acha mimi niondoke,”
“Samahani lakini, sikupenda uondoke kwa mtindo huu,”
“Usijali, najua,”
“Umenisamehe?”
“Hujanikosea mbona, tena mimi ndio natakiwa nikushukuru kwa msosi mzito,”
“Msosi gani bwana, ebu naomba simu yako,”
“Simu yangu?” Mbosoni alirudia alichoambiwa utadhani hakusikia, aliona aibu kutoa simu yake, ilikuwa ni ‘Smatifoni’ ila mwonekano wake ndio ulitisha. Ilikuwa imechakaa halafu nyufa kwenye kioo zilikuwa za kutosha.

Alipoitoa, yule mama aliichukua bila hata kuongea neno kisha akakaa nayo kama sekunde kumi hivi na kumrudishia. Kukawa hakuna jinsi, Mbosoni kwa unyonge alianza kupiga hatua za taratibu akiuelekea mlango akijua pengine ataitwa hata aagwe kwa busu, filamu za kibongo zilimuathiri, mama huyo alibaki akimwangalia mbosoni mpaka alipotoka nje, kuagana kwa kushikana mikono kulitosha kwa siku hiyo.

Basi baada ya kuondoka Mbosoni, hazikupita dakika kumi akaingia huyo aliyesababisha mbosoni kuondoka mapema nyumbani hapo, alikuwa ni mama wa makamo tu, huo mshindu aliobarikiwa huko nyuma ukichanganya na urefu, ungeweza kumwita mrembo wa miaka ishirini na tano hivi, pesa ilimtunza vyema na kumfanya aendelee kudai kimvuto.
“Mamaa Fei,”
“Mrs Lomo, mwanamke asiyezeeka duniani,”
“Ebu toka hapa!”
“Kweli shoga yangu uniambie tu unatumia kitu gani,”
“Hamna kitu shoga,”
“Juisi yangu ya tikiti!”
“Ipo, hata huvuti pumzi na wewe?”
“Ilete mama! Ilete mama! Nikupe ubuyu.” Basi Mrs lomo akamletea juisi hiyo ambayo ilishaanza kupata ubaridi Fulani.

Mama Fei ndilo lilikuwa jina la mgeni huyo mwenye ubuyu, akaanza kuumwaga huo ubuyu, Mrs lomo alikuwa makini kumsikiliza, alianza kwa kusema,
“Shoga yangu, kweli sikuwahi kuchepuka katika maisha yangu lakini juzi uzalendo ulinishinda mamaa, kijana wa kinyamwezi yule Jamani daah! Na kilanga changu chote komo!”
“Kwahiyo umechepuka?”
“Sikupanga ila ilikuja ghafla na sijui kama nitaacha,”
“Tena! Kwa kipi hasa?”
“Yule bwana anajua kugongelea sio masihara, Jamani, kweli alinirudisha enzi zangu za usichana,”
“Sasa ilikuwaje, nianzie mwanzo,”
“Unavyopenda udambu udambu sasa!”
“Sasaje! Udambu ndio kila kitu,”
“Yaani shoga yangu siku ukijaribu kuchepuka ndio siku utakayokuwa umeonja buyu la asali, hautaacha mpaka liishe lote,”
“Aah wapi!”
“Nilisema hivyo hivyo,”
“Kwani wewe umeng’atwa mara ngapi?”
“Mara moja,”
“Sasa, unaweza ukaamua kuacha sio?”
“Sio mimi ninayeamua, wewe hujang’atwa na yule ‘Broo’ ndio maana unasema hivyo,”
“Tuachane na hayo, nipe ubuyu kuanzia mwanzo,”…ITAENDELEA

UJI MZITO-06

“Huyo kijana bwana, alitumwa na mume wangu kuleta mzigo nyumbani, lilikuwa ni boksi la tisheti. Alikuja na baiskeli, muda huo alitoka kufanya mazoezi. Alivalia suruali ya traki na vesti iliyomwonyesha kifua chake cha mazoezi. Basi bwana, muda huo nikiwa naoga niende kwenye biashara zangu, hodi ikabishwa, kwavile sikuwa na miadi na mtu yeyote, nilijua tu atakuwa ni mume wangu amesahau kitu, nilitoka nikiwa nimejipitisha taulo tu, si unajua tena na huu mzigo hapa nyuma taulo lenyewe halikunitosha vyema. Sasa nilipofungua tu mlango tena kwa kujiamini nikijua ni mume wangu, nilishtuka! Kumbe ni huyo kijana,
“Samahani mamii, nimeleta mzigo,” aliniambia hivyo kwa sauti Fulani kama anabembeleza hivi
“Sawa, mbona jasho hivyo?”
“Nilikuwa nafanya mazoezi,” alipoongea hivyo alinikata kijicho cha wizi kutazama mapaja yangu kisha akabana midomo yake,
“Uweke chini,”
“Sawa, wakubwa wanafaidi,” alianza kunichokoza, alipoweka huo mzigo chini, toba lailai! Kumbe msumari wake ulikuwa umeshaanza kututumka. Sijui nikwambie nini shoga yangu unielewe, nilisisimka mwili na kujikuta nikiutolea macho msumari wake, sio kwamba nilipanga kufanya hivyo ila hiyo hali ilinitokea tu. Kibaya zaidi alijua nilikuwa nikikodolea msumari wake,
“Vipi umeupenda msumari wangu?”
“Ebu toka hapa! Tayari umeshaufikisha mzigo ondoka,” nilimjibu lakini sikumaanisha, tena jibu langu lilikuwa na jeki kwenye msumari wake, uliinuka kama kushtuka Fulani hivi,”
“Ikawaje sasa?” Mrs lomo alihoji kwa shauku kweli
“Basi mwenzangu! Nilipotaka kufunga mlango, akaweka mkono kuuzuia, nilimshangaa lakini uso wangu ulishakubaliana na matokeo yeyote, jamaa akadinda hapo mlangoni, sasa zile kurupushani na taulo langu lisilonitosha kutokana na ukubwa wa wowowo likaanguka, kile kitendo cha kuliokota haraka, jamaa sijui alikuwa na kasi ya namna gani, kwasababu niliinama na kuacha huru kati kwangu kulikokuwa kunahitaji kupanguswa ule mchuzi usio na rangi, ile kuinuka ni kama nilifumba kitu kati kwangu,”
“Nini! Ina maana kitu gani ulikifumbia kati kwako?” Mrs Lomo alihoji
“Gumba mama! Dole gumba lake,”
“Yesuu! Na ukamwacha?”
“Ningefanyaje sasa na wakati alikuwa akinitakua nalo utadhani kuku alapo pumba zilizomwangwa chini,”
(Wote walicheka kwa sauti kubwa)
“Ukalegea mwenyewe! Na hilo jicho sasa!”
“Jicho tu! mpaka chura yote ililegea,”
“Enhee!” Mrs Lomo alihitaji mwendelezo wa matukio, mama Fei aliendelea,
“Yule jamaa hakunipumzisha hata sekunde moja, nilikuwa nikimzuia na dole gumba lake liling’ang’ania huku kati kwangu utadhani liligandishwa na ‘Supagluu’ sio kwamba nilikuwa napambana kwa nguvu zote kwasababu mimi mwenyewe nilitamani kamchezo hako. Sikuamini kama ndiyo nilikuwa naelekea kutoa kati kwangu, jamaa akachomoa msumari wake kutoka ndani ya ile suruali ya traki, hata haikuwa kazi ngumu, msumari ulikuwa umenyooka kuliko maelezo, moja kwa moja ukaingia kati kwangu,ila mimi naye nilikuwa kichaa, eti nilikuwa nikimzuia asinishambulie na dole gumba lake huku nikiwa nimemwinamia utadhani nafua vile. Alipoanza kunishambulia, ndio nikajua kuwa nilikuwa napenda nini katika kubanguana. Alinishambulia kwa haraka, nilitulia kama gogo huku kati kwangu pakiwa panasuguliwa utadhani ni mashindano, taratibu nilianza kupata msisimko Fulani ambao sikutaka uishe, nikaanza kushikilia kochi vizuri huku nikitoa sauti Fulani za kuitikia mapigo,”
“Msisimko huo ulikuwaje?” Mrs Lomo alimpachika swali
“Hauelezeki shoga yangu, yaani unahisi kila sehemu ya mwili wako inakunwa kwa wakati mmoja, sasa hiyo tisa, kumi pale alipoanza kuzungusha kiuno huku akishushia moto wa hatari, yaani alikuwa kama mashine, alinisugua kwa kasi, ule msisimko uliendelea mpaka nikawa sijielewi kabisa, ule msisimko ukazaa msisimko mwingine ambao nilihisi nakufa shoga yangu, nikamaliza haja zangu na yeye hapo hapo akamaliza zake, nilijiegemeza pembeni ya kochi, nikawa namshukuru huku tukiongea stori fulani ambazo hata sikuzielewa, mwenyewe akawa ananishika kichwa ananibembeleza, nikapitiwa na usingizi,”
“Khe! Ikawaje baada ya hapo?”
“Nilipokuja kushtuka sikumwona tena, masikini hata jina sikumjua, lakini huku kati kwangu nikahisi kama nimebandikwa kitu, ile kuangalia kilikuwa ni kikaratasi, nikakitoa na kukifungua, kiliandikwa namba za simu na jina Hassan. Nilibaki nikitabasamu tu mwenzangu, basi nikanyanyuka na kwenda kuoga tena…ITAENDELEA

UJI MZITO-07

Mama Fei alimaliza kumsimulia Mrs Lomo tukio hilo lililomsisimua na kumfanya atamani msumari. Mama fei aliendelea kumpa ushauri Mrs lomo kuwa asije kujaribu kuchepuka maana atahamia huko moja kwa moja. Mrs lomo akawa anacheka tu, wakapiga stori nyingi sana lakini mwishoni mama fei alikumbuka kuwa kuna birthday ya rafiki yake hivyo aliona sio mbaya Mrs lomo pia aende.
“Sidhani kama nitaweza,” Mrs Lomo alijibu hivyo
“Yaani ukikosa tutakosana, nimemualika Hassan, kwahiyo nitaenda naye,”
“Wewe! Mbona haraka hivyo?”
“Alinionjesha kazi nzuri sana, inabidi nimtafutie siku tutoane uvivu hasa,”
“Haya bwana, mimi nitakujulisha,”
“Saa moja mwisho saa mbili na nusu,”
“Sawa nitakuja.” Mrs Lomo alipokubali, mama Fei alifurahi kisha akaondoka zake.

Mrs Lomo alichukua simu yake ya mkononi na kuangalia ‘missed call’ maana alijibipu muda ule kwa kutumia simu ya Mbosoni. Akaihifadhi namba hiyo kwa jina la Mbo, baada ya kufanya hivyo alitabasamu kisha akafuta na kuandika Mbosoni. Akamtumia ujumbe mfupi,
“Hello Mbo!” hata sekunde haikupita, akajibiwa
“Naam mama yangu mzuri kuliko wakinamama wote,” Mrs Lomo alicheka aliposoma kisha anamuuliza,
“Utakuwa na nafasi unisindikize mahali?” ujumbe huo Mbosoni hakuujibu bali alipiga simu kabisa na kumwambia mama huyo kuwa nafasi kwa ajili yake haiwezi kukosekana muda wowote ule. Wakakubaliana kituo atakachompitia kisha Mrs lomo akaomba ushauri ni nguo gani avae, Mbosoni akageuka kuwa ‘dizaina’ alimchagulia gauni refu, ndani yake avae kaba shingo, alipotaka kumchagulia nguo ya ndani Mrs Lomo alimkatisha kwa kumwita kifupi cha jina lake ambapo Mbo alisisimka kweli.

Kwenye tafrija hiyo waliwasili, uchokozi ulianzia kwenye gari, ni kama kila mmoja alimtamani mwenzake japokuwa tamaa ya mbosoni ndio haikujificha. Mbosoni alivalia suti yake nzito kama mbunge Fulani, ukichanganya na kwenda saluni, lile timba alilokuwa nalo alipendeza kweli. Katika maisha yake hakuwahi kuwa na suti, ila kitu cha kuelewa ni kwamba mwanaume hashindwi kitu akikivalia njuga.

Mama Fei alipowaona wawili hao wanaingia kama mtu na mumewe, alishtuka maana haikuwa kawaida ya Mrs Lomo kuonekana na mwanaume mwingine zaidi ya mumewe. Kitu kingine ambacho kilimtambulisha mama fei ni ushakunaku wenye udakudaku ndani yake, aliwafuata,
“Habari hendisam,” aliita hivyo huku akimtazama Mrs Lomo kwa makusudi
“Nzuri, za kwako,” alijibu Mbosoni
“Zangu ziko kama sura ya Latifa,” alipojibiwa hivyo Mbosoni hakuelewa, alibaki akishangaa tu, akamvuta Mrs lomo pembeni utadhani alikuwa akimdai,
“Shoga usiniambie kama lango la kati limeshambuliwa!” Mama fei huyo alisema hivyo
“Hamna, mbona ni kijana tu,”
“Unafikiri shoo ya huyu kijana na ya mzee Lomo zinafanana! Yaani kama magari huyu kijana ni Kruza, halafu Mzee lomo ni Spacio, upo?” wote wakacheka
“Hassan yuko wapi?”
“Hajafika bado, ila atakuja.” Basi waliishia hapo maongezi yao, tafrija hiyo ilikuwa ikifanyikia nyumbani kwa huyo mhusika na alipaandaa vizuri, viti vilikuwepo vya kutosha, vinywaji na aina nyingi za vyakula.

Mbosoni na Mrs Lomo walikwenda kukaa kwenye meza yao. Na hapo ndipo alipojua kuwa Mrs Lomo anaitwa Latifa, kwahiyo mama Fei alipojibu “Zangu ziko kama sura ya Latifa” alimaanisha ni nzuri kwa maana sura ya Latifa ambaye ni Mrs Lomo ni nzuri. Mrs Lomo alikubali kuitwa Latifa na Mbosoni. Hapo kwenye meza waliangaliana kwa macho Fulani, ukiangalia mwanamke amejiremba vya kutosha, mekapu za kitajiri sio kama mekapu zetu wakinadada wa mtaa wa nonino, ukitoka jasho sura inageuka kuwa mahali ambapo watoto walikuwa wakichezea rangi mbalimbali za ukutani.

Mbosoni alianza kummwagia sifa Latifa kuanzia unyweleni mpaka kwenye visigino, Latifa alibaki akitabasamu tu,
“Damu zetu zimeendana,” alisema Latifa
“Kwanini?”
“Sijawahi kuruhusu mwanaume mwingine anipe furaha,”
“Kwahiyo nina bahati?”
“Ndiyo, tena kubwa tu!”
“Napenda unavyoyafanya hivyo macho yako, na hivyo vishavu vyako unapoanza kutabasamu,”
“Toka huko!” Latifa alitabasamu huku akiongea hivyo, ni kweli alikuwa mzuri usoni usipime, kila kitu alijaaliwa huyu mwanamke kasoro mtoto tu…ITAENDELEA

UJI MZITO-08

Mama fei sasa! Kitu cha kwanza alikuwa kama mhudumu wa Mbosoni na Latifa, alihakikisha wamekunywa vya kutosha na kula pia. Aliwachangamsha kwenye meza yao mpaka kuna muda walimfukuza, ilionekana amezidiwa na vinywaji.

Majira ya saa tatu ndio waliamua kuondoka Mbosoni na Latifa. Hakukuwa na aliyelewa, njiani ndani ya gari hawakukaa kama mabubu,
“Vipi umefurahia usiku wa leo?”
“Furaha yako, kwangu mara mbili yake, vipi, wewe umefurahia?”
“Ndio, una maneno wewe!”
“Mbele ya mwanamke mzuri aliyebarikiwa kila kitu nitakosaje maneno, ni kama kuna mwandishi mmoja maarufu alishawahi kuandika, katika mguso wa mapenzi, kila mtu ni mwanamashahiri,”
“Kweli?”
“Ndiyo, kwahiyo ukiwa na mtu kwenye mahusiano halafu akawa ana mtindo wa ‘kukufowadia’ jumbe za mapenzi, jua huyo hana mguso wa mapenzi,”
“Haya Dokta love.” Alivyomwita hivyo, wote wakacheka huku Mbosoni akilikataa jina hilo.

Gari iliendeshwa mpaka ilipofika yale maeneo alikochukuliwa Mbosoni. Kwenye akili yake Mbosoni alijua alichotakiwa kufanya ni kumuaga na kushuka nje ya gari,
“Nataka nipajue kwako,” Latifa alisema hivyo kwa sauti ya kichovu sana
“Kwangu?”
“Hapana, sio kwako, kwa Mr Mbo!” hilo jina Mr Mbo alilitaja kama kwa sekunde tano hivi, alivuta hasa maneno,
“Kwahiyo unataka upajue kwangu na kwa Mbo?”
“Ndiyo! Ni watu wawili tofauti eh?” swali hilo jibu lake lilikuwa ni Kicheko tu.

Basi Mbosoni akawa anatoa maelekezo ya jinsi ya kufika kwake. Kwa bahati nzuri, palikuwa panafikika na mahali pa kuegesha gari palipatikana japo hapakuwa salama sana. Kabla hajaingia ndani, alimsimamisha kwanza Latifa, kidume kilijua tu huko alivyopaacha, ni kama palichezewa disko. Kabla hata hajamaliza sekunde tatu Latifa aliingia, alikuta vitu viko shagalabagala, alicheka kwa sauti kubwa mpaka akadondokea kwenye kochi,
“Ndio maana ukanisubirisha nje, naondoka zangu,” kauli ya Latifa ilimshtua Mbosoni ambaye utadhani aliambiwa atakufa kesho, kijasho kilimtoka, alipiga magoti akimuomba Latifa asiondoke, huwezi amini kidume machozi yalianza kumtoka, Latifa alishtuka kuona machozi ya Mbosoni kwasababu hakuwa siriazi, alimjaribu tu,
“Mbosoni Jamani nilikuwa nakutania tu!”
“Kwahiyo hautaondoka?”
“Ndiyo,”
“Naomba unipe dakika chache nifanye usafi, ukae kwangu hata kwa nusu saa tu na roho yangu itapona,”
“Usijali, kuhusu usafi niachie mimi,”
“Hapana bwana,”
“Unataka niondoke! Kama hutaki basi niachie nifanye usafi.”
Latifa akaanza kufanya usafi, alideki, aliosha vyomba, alitandika kitanda, makochi aliyapanga vizuri. Ndani kwa mwanaume kukang’aa, mpaka Mbosoni mwenyewe akapasifia.
“Fumba macho,”
“Ili?”
“Unanibishia?”
“Hapana Malkia.”
Latifa alimuamrisha Mbosoni lengo lake lilikuwa ni kubadilisha nguo. Alivalia shuka jepesi lililomkaa kweli,
“Nataka kwenda kuoga,”
“Kweli?”
“Ndio,”
“Au wewe huendi?” hilo swali ni kama lilikuja ghafla kwa Mbosoni na kumsababishia kigugumizi cha ghafla. Basi Mbosoni alimwekea maji kisha Latifa akaenda kuoga. Alipotoka tu kuoga, alimtaka Mbosoni aende akaoge haraka,
“Mimi nina mida yangu, usijali,” alijibu hivyo Mbosoni
“Mida gani? Ebu nenda kaoge usinitanie,” Latifa aliongea akiwa siriazi, Mbosoni hakuelewa,
“Siwezi kulala na mtu ambaye hajaoga.” Kauli hiyo ndiyo iliyomwinua mbosoni kutoka pale kwenye kochi kama umeme, hiyo haraka yake usingeweza kuifananisha na kitu chochote, malapa yenyewe aliyakata kwa haraka, hilo taulo alivyojifunga sasa! Alikimbilia bafuni bila maji, sekunde kadhaa alirudi,
“Nilikuwa nakushangaa tu, unaenda kuoga na mate!” Mbosoni ni kama alijiziba masikio, alichanganyikiwa kusikia mama huyo atalala naye kwa usiku huo.

Dakika tatu mtu alishamaliza kuoga. Alirejea ndani na kumkuta Latifa akiwa amejilaza kitandani akiangalia runinga. Sasa ile khanga aliyoivaa Jamani, ilimwishia juu kidogo ya magoti yake yaliyokuwa na weupe Fulani wa maji ya kunde, au rangi ya mtume….ITAENDELEA

UJI MZITO-09

Msumari ndani ya taulo haukutulia, ilibidi avae bukta lake pana la kulalia na vesti. Alitamani kwenda kukaa kitandani lakini roho yake ilisita, ikabidi aende kuketi kwenye kochi,
“Unaniogopa eeh?” Latifa alimwambia Mbosoni
“Hapana, kwanini unasema hivyo?”
“Unamwacha mgeni Mwanza, wewe unakaa Mtwara,”
“Tatizo amechagua kukaa kwenye mji wenye utata hapo Mwanza,”
“Mji gani?”
“Nyegezi.” Aliposema hivyo Latifa alicheka huku akiendelea kumkubali Mbosoni kuwa ana maneno sana
“Njoo kitandani, kuna kitu nataka nikwambie.” Latifa aliongea kwa sauti Fulani ya umakini sana, Mbosoni akamfuata, wakaketi wakiwa wameegemea kingo ya kitanda iliyoko kichwani.

Latifa aliuchukua mkono wa Mbosoni na kuushika kwa mikono yake miwili iliyoegemea kwenye mapaja yake, yaani kitendo hiko ndio kiliongeza hasira ya msumari wa Mbosoni uliotaka kutoboa kufuri lake.
“Mbosoni,” aliita kwa hisia huku akimtazama usoni
“Naam, mrembo Latifa,”
“Napenda jinsi mapigo yako ya moyo yanavyokwenda haraka,”
“Umejuaje?”
“Kupitia jinsi unavyoongea, na uso wako pia unaonyesha,”
“Kweli?”
“Ndio,”
“Utabiri wako umekwenda vizuri,”
“Kwanini mapigo ya moyo yanakwenda mbio hivyo?”
“Aaah..”
“Aaah nini Jamani Mbo,”
“Naomba nikwambie tu ukweli wa moyo wangu Latifa…”
“Ishia hapo hapo, nisikilize kwanza mimi,”
“Sawa..”
“Ni muda mrefu sana mume wangu kutoshiriki kula chakula nyumbani nilichokipika, siku ile ulipokuja na kushiriki nami nilijisikia amani sana, hasa pale ulipokuwa umekisifia chakula changu ni kitamu, nilifurahi kupita maelezo. Wapo vijana wengi waliotamani kuwa na mimi, wengi mno, wengine wakiniahidi watanioa, wapo waliodiriki kuacha wachumba zao ili wanipate katika ukubwa wangu huu huu. Nilimpenda sana mume wangu, na sikuwa tayari kumsaliti japokuwa yeye alifanya hivyo zaidi ya mara moja.

Kukosa kwangu mtoto kulimfanya ashindwe kunivumilia na kuniona kama mzigo nyumbani. Nikakosa mtu wa kuongea naye kama rafiki, upweke ukanisonga. Nimevumilia kwa muda mrefu sana. Hali ilizidi kuwa mbaya pale ambapo uwanjani alikuwa hafanyi majukumu yake inavyotakiwa, kila rafiki yangu alikuwa na mchepuko, tulibaki mimi na mama Fei ambaye naye juzi juzi hapa amepata.

Mr Lomo alinioa kwasababu moja tu, nilikuwa mzuri kupita maelezo, nilijijua. Nyumbani kwetu maisha hayakuwa mazuri sana, ila kuolewa naye kuliinua familia yangu, nilihitaji kuwa shujaa kwa familia yangu, niliolewa nikiwa na miaka ishirini, Mr Lomo alikuwa mkubwa kwangu, alinizidi miaka kama kumi tano. Na yeye ndiye aliyekuwa mwanaume wangu wa kwanza, nilimpenda lakini ndio hivyo kukosa watoto kukapunguza upendo wake kwangu, kuna muda niliona ni sahihi anisaliti ilia pate watoto nafsi yake itulie, mpaka sasahivi najua ana watoto nje japo hajaniweka wazi,” Latifa alimaliza kusimulia kisa chake kilichobeba historia yake kwa ufupi na Mr Lomo, machozi yalimtoka,
“Pole sana, uko mikono salama,” alisema Mbosoni akimfuta machozi Latifa huku akimkumbusha thamanai ya machozi yake, kwahiyo hatakiwi kuyaruhusu yatoke.

Latifa alijilaza kwenye mapaja ya Mbosoni, mahali ambapo msumari pia ulijilaza ila katika ya ukakamavu kweli maana ulishajiandaa kugongelea.
“Mbosoni,”
“Naam mrembo wangu,”
“Leo nachepuka,”
“Hapana, unafanya kitu sahihi,”
“Namsaliti mume wangu wa ndoa,”
“Ambaye ameshakuzalia watoto nje! Kwanza usimkumbuke tena,”
“Sawa, leo mimi ni wako, usiku mzima, nifanye vile unavyotaka,” kauli hiyo ilimsisimua Mbosoni na kusababisha msumari wake upige pushapu ya nguvu iliyomgusa Latifa
“Kweli umeamua kutoka moyoni?”
“Ndiyo, nilijua unanipenda tangu kipindi kile tukiwa mazoezi, nilivutiwa na wewe jinsi ulivyo lakini sikutaka kuziamini sana hisia zangu,”
“Kumbe ulikuwa unajua tangu kipindi kile?”
“Ndiyo, mwenyewe ulikuwa unaniangalia sana, nikikuangalia unaangalia pembeni,”
“Basi tangu kipindi kile mwenzako nilikuwa nakuwaza tu, nakupenda sana Latifa, nakupenda kuliko kitu chochote,”
“Kweli?” Mbosoni alipouliza hivyo alishindwa kujibu kwani Latifa alimbana hasa…


MWISHO





Blog