MTUNZI : GEOFREY MALWA
Sheria zangu nilizoziishi ndizo zilileta ladha ya maisha kwa uapande wangu. Kila mmoja wetu hujengwa na maisha aliyoyapitia, usipokuwa mbinafsi kama mimi, basi utakuwa tayari kufanya lolote kwa ajili ya maendeleo ya watu unaowapenda.
Katika ulimwengu wa mapenzi nilikuwa na sheria moja tu ya kutogawa papa kwa kijana hususani asiye kuwa na hela. Sikuwa na muda na kitu kilichoitwa mapenzi ya kweli. Usinielewe vibaya, sikuwa jamvi la wageni, utanielewa mbele ya safari sababu za kutogawa papa kwa mabishoo wa sasahivi.
Sikuwa na baba, wala hata sikumjua. Nililelewa na mama, na tulikuwa wawili tu, mimi na mdogo wangu wa kiume Johnson aliyekuwa akisoma kidato cha kwanza. Uwezo wa kifamilia ulikuwa ni mdogo sana kumudu mahitaji yetu wote. Nadhani dunia nzima inajua bidhaa inayoweza kulipiwa pesa kubwa isiyo na ushurutishwaji ndani yake ni Papa. Ili kuokoa familia yangu hiyo ya watu watatu, papa ilikuwa kwenye mpango wa kuingia sokoni japo sio kwa lengo la kununuliwa na kila mtu.
Fausta mimi katika maisha yangu, japokuwa nilikuwa mkubwa mwenye umri wa miaka ishirini na nne, ukiachana na ile siku ya kwanza kukaribishwa kwenye ulimwengu wa mapenzi, nilirudia mara mbili tu. Tena sikuona raha yeyote ambayo watu walikuwa wakiizungumzia, waandishi wa jinsi walivyokuwa wakiandika jinsi gani mtu unaweza kusahau mpaka jina lako, kwangu wala sikuona kitu hicho.
Jafeti ndiye aliyefanikiwa kuniingiza katika ulimwengu huo na sijawahi kuwa na mwanaume mwingine zaidi yake. MAisha ya Jafeti hayakutofautiana sana na yangu japo alijitahidi sana kuhakikisha nina furaha, aliipenda familia yangu na kuhakikisha hatulali njaa hata kama ni kidogo atakachokipata. Hakuwa amekwenda shule, vibarua vya mtaani ndio vilimuweka mjini na kutupa kula.
Siku moja nikiwa natembea barabarani nikitokea sokoni nilikonunua vitu ambavyo hata havifiki vya elfu moja(buku). Nilikuwa nikiyachukia maisha hayo kuliko kawaida, elimu nilikuwa nayo tena ya chuo kikuu, shahada ya masoko, sikupaswa kula nilichokula wala kuvaa nilivyovaa, basi nikafuatwa na mkaka mmoja aliyekuwa amevalia suti, akanisalimia, kisha akaniomba sana nipande kwenye gari lake,
.
“Hapana, sikujui na unataka kunipeleka wapi?”
“Sio mimi ninayekuhitaji, ni boss wangu,”
“Boss wako! Kwanini yeye asije hapa?”
“Kwahiyo unataka yeye ndiye aje hapa?” nilimjibu kwa kutikisa kichwa kuashiria kukubali kuwa Boss huyo ndiye anifuate, mwenzangu! Kupanda kwenye magari ya watu usiowajua kisa nini! Hata kama nilikuwa na shida.
Basi akashuka mbaba mmoja, kwakweli alikuwa ni mtu mzima sana, kwa haraka haraka tu angeweza kuwa na watoto wakubwa zaidi yangu pengine hata wengine ningewasalimia shikamoo,
“Mwanangu, habari yako?” alinisalimia
“Nzuri baba shikamoo,”
“Marhaba, najua kwanini umekataa kuingia ndani ya gari yangu lakini hilo sio tatizo, unaweza ukatafuta sehemu tuongee?” mzee kama huyo anahitaji kuongea na mimi nini? Nilipoangalia pembeni hata sikuona mahali pa kumkalisha mzee wa watu, nilishindwa hata kumwambia tusimame hapo hapo,
“Samahani unaitwa nani?” ilinibidi nimuulizie jina
“Naitwa Timoth Mandate,”
“Ooh mimi naitwa Fausta,”
“Samahani, unaweza kuingia ndani ya gari yangu tukaelekea sehemu tuongee?” kwakweli sikuweza kupinga alivyoniambia hivyo, nilihisi pengine anaweza akaninyooshea njia ya maisha.
“Sawa.” Nilipokubali tu, kuna gari nyingine ikaja ikatupita nakusimama mbele yetu, ile ya kwanza ilisimama nyuma yangu…
Basi tukaelekea kwenye ile gari iliyosimama mbele yetu.
Tulipoingia ndani ya gari, palikuwa na dereva tu. Sisi tukaketi siti za nyuma. Sasa na kile kigauni changu nilichokivaa, labda nichukue nafasi hii kuwaambia jinsi nilivyoumbwa. Sikuwa mnene wala mnene wastani na wala mwembamba sana, nilicheza hapo katikati, nilikuwa mrefu mweusi kidogo mwenye rangi ya kung’aa. Kwa kifupi, nilikuwa nashawishi sana wanaume na umbo langu, wengi walinifisia nina umbo zuri na nina uso mzuri, hilo sikupinga kwasababu msururu iliojipanga kunihitaji kimapenzi haukuhesabika, kwanza mpaka nimemaliza chuo, ni misukosuko mingi niliipitia kutoka kwa malekcha mbalimbali.
Kile kigauni nilikuwa kinaniishia kwenye magoti, sasa nilivyokaa kilirudi mpaka usawa wa mapaja, nikawa nakilazimisha kwa kukivuta ili kinisitiri, nilipomwangalia mzee, macho yalikuwa kwenye mapaja yangu, nikasema toba!
“Unaishi mitaa hii?” aliniuliza
“Ndiyo, tunapambana tu na maisha,”
“Sawa sawa.” Niliogopa hata kumuuliza anafanya kazi gani, maana ile gari nyingine ilikuwa ikitufuatilia nyuma, ilionekana ni walinzi wake wanamlinda.
Tulipofika kwenye hiyo hoteli kubwa ya kifahari, iliyokuwa na mandhari kama ya kitalii Fulani. Nikapewa nafasi ya kuagiza chochote, niliogopa,
“Fausta, unaamini katika miujiza?”
“Ndio,”
“Basi amini leo umekutana nao, naomba uwe huru,”
“Sawa,”
“Agiza chochote.” Nikaagiza chipsi kuku mwanawane, tukiwa tunakula, mzee hakuacha kunitazama usoni, kifuani kwangu ambapo palikuwa pabichi utadhani nina miaka kumi na moja na miezi kumi na mbili. Vile vitunda viwili vilivyojitokeza nje ya gauni langu hapo kifuani nahisi vilimchanganya.
“Naomba nikusaidie, kwa jambo lolote utakalokuwa na shida nalo,”
“Kwahiyo muujiza bado unaendelea?” nilipouliza hivyo wote tukacheka
“Mpaka siku utakayoukimbia.” Akaanza kunichekesha kwa maneno yake ya utani, nikajikuta najiachia kucheka utadhani nimekaa na kijana mwenzangu. Basi aliunyoosha mkono wake na kunishika mkono wangu, alinishika kwa hisia kubwa, niligundua hilo nilipomwangalia usoni, ule usiriaz aliokuwa nao,
“FAusta..”
“Abee..”
“Nashukuru kwa kushiriki chakula na mimi, kwa hizi dakika chache, ni kama umenifufua!”
“Kukufufua? Kwani ulikuwa umekufa,”
“Hapana, tatizo letu wanadamu, tunahisi kinachofufuka ni mwili tu, hapana! Viko vingi, kuna furaha, upendo, hisia na kila kitu,”
“Wewe kimefufuka nini kwako,”
“Kwanini hiyo isiwe homweki!” wote tukacheka kisha tukabadilishana namba za simu. Kabla sijaondoka alinipa bahasha ya kaki na kusema itanisaidia kwa siku ambazo nafikiria ni nini ninachotaka kusaidiwa na yeye.
Uhusiano ukaanza hapo, Timoth akawa ananipigia simu na kunijulia hali kila wakati. Shida zangu alizitatua kabisa, nikawa namwita baba na wala hakupinga, usiku ndio usiseme, tulikuwa tukiongea kwa muda mrefu mpaka Timoth anasinzia. Nilianza kumpenda, taratibu aliingia moyoni mwangu. Jafeti pamoja na kwamba ndiye aliyekuwa wa kwanza kwenye mwili wangu, nilianza kumpotezea kimyakimya kwasababu sikutaka kugonganisha magari.
Basi nikaanza kumtega mbaba wa watu, kuna usiku mmoja aliponipigia simu, baada ya kupiga stori nikaanza kumuuliza maswali ya kichokozi,
“Umelalaje?”
“Kifudifudi,”
“Umevaa nini?”
“Mbona unataka kunirudisha ujana?”..
"Wewe hutaki?”
“Nimevaa bukta tu,”
“Hata mimi nimevaa bukta,”
“Unaniiga eeh?”
“Hamna,”
“Kama nakuona vile,”
“Umekuwa mchawi,”
“We hujui tu mi nakuona hapo au nikushike nanihii ndio utajua kuwa nakuona,”
“Unishike nini,”
“Ona mkono wangu unaingia kwenye bukta yako kutokea chini mapajani, ona unavyopanda mpaka kwenye mayai mawili ya kigiriki, niushike mguu wa tatu?” nilipomuuliza hivyo akaanza kuongea huku akihema. Basi nikapotezea kwa stori zingine maana nilishaanza kuona mbaba wa watu hali ni tete.
Kesho yake kama kawaida, asubuhi na mapema, alinipigia simu akinijulia hali.
“Nimekumisi, nataka nikuone,” nilimwambia hivyo alipotaka kukata simu
“Kweli?”
“Ndio, nina maongezi na wewe.” Basi akapanga muda, kwamba majira ya saa kumi jioni niwe tayari na gari itanikuta wapi, vyote tukapanga.
Basi majira yalipowadia nikasogea mahali ambapo niliambiwa gari itanichukua, iliuwa ndio siku yta kwanza mimi kwenda nyumbani kwa huyo mbaba. Na kihelehele changu wala hata sikuwaza kwamba angeweza kuwa na mke au anaishi vipi, nilichokiwaza ni kuonana naye.
Kigauni changu mwenyewe chekundu, kilichonichora umbo langu vyema, chini viatu virefu vilivyohitaji ufundi kwenye kutembelea. Mgongoni wa hilo gauni ni kama palikuwa wazi mpaka usawa wa kiuno, ni kamba tu ndio zilipita, kama ambazo ukizilegeza kufuri lazima lionekane.
Kumbe Timoth alikuwa anaishi mwenyewe kama mmiliki wa nyumba hiyo ya kifahari. Alikuwa na msichana wa kazi, mzuri tu, pia kijana wa kumsaidia kazi za nje za kuweka mazingira safi, bila kumsahau mlinzi wa nyumba.
.
Nilipofika alinipokea vizuri kwa kunikumbatia ambapo hakuamini, nilimbusu mdomoni kabisa na kumwacha akinishangaa tu.
“Unashangaa nini bwana, huo mdomo umependeza!” nilimwachia shedo nyekundu
“Una vituko wewe!” aliniambia hivyo huku akifuta mdomo wake
“Kama vya jana usiku? Hujapiga nyeto kweli?”
“Nyeto ni tabia mbaya.” Nilianza mazoea mabaya na Timoth, mimi ndiye niliyeyalazimisha yatokee. Nilihitaji kumpa kitu kitakachomfanya aone naithamini michango yake kwa familia yangu. Alilipa ada ya Johnson, alitupangishia nyumba kubwa tu na kutununulia samani zote za ndani, alikua akinipa pesa za matumizi kila mwezi ukiachana na alizokuwa akizituma bila sababu. Yote hayo aliyafanya kwa muda wa miezi sita bila hata kuomba chochote, niliona ni wajibu wangu kumkuna pasipofaa kukunika na vidole.
Siku hiyo niliendelea kumtega, na ile suruali aliyoivaa, mguu wa tatu ulianza kusumbua.
“Samahani baba, kwanini tusiende kwako tukapumzike!” nilimambia kwa sauti ya kinyonge sana
“Sawa,” alijibu huku akiona hata aibu kusimama,
“Najua kitu kimeshaenda mnara, usijali niko hapa kwa ajili yake,”
“Kweli?”
“Ndio.” Nilipomwambia hivyo, akacha kujishtukia, alinyanyuka huku mguu wa tatu ukitangulia mbele.
Nilimkokota mpaka chumbani, chumba chake kilikuwa kisafi usipime. Kitanda kikubwa cha gharama, mashuka meupe yasiyokuwa hata na doa ndio yalitandikwa. Nilimsukumia kitandani na kumwacha akiniangalia kwa matamanio…
“Leo utazaliwa tena,” nilimwambia hivyo huku nikilitenganisha gauni na mwili wangu
“Unanirudisha utotoni,” aliongea huku akitabasamu
“Kabisa, enzi zile ukiwa unakojolea watu unakumbuka,” alitikisa kichwa kuashiria alikumbuka
“Sasa leo utarudia kufanya hivyo kwangu.” Nilimchoma kwa hayo maneno yaliyozidi kumpandisha hasira.
Nilipojibakiza kama niko bustani ya edeni, enzi hizo tunda halijaliwa., nikamfuata kitandani. Nikamfanya afanane na mimi, kitendo kilichonipa uhuru wa kuuona mguu wake wa tatu. Katika maisha yangu huo ulikuwa ni mguu wa tatu wa pili kuuona, wa kwanza ukiwa ni wa Jafeti aliyefungua soda tamu yangu.
Niliushika mguu wake wa tatu pamoja na
.
MWISHO