MTUNZI : GEOFREY MALWA
Kwa Mungu na binadamu wengi kilihesabika kama kiungo cha kawaida cha mwili lakini kwake binafsi alikihesabu kama mzigo. Kweli wanawadamu tuna kelele nyingi kwa Mungu, jua likiwaka, wapo watakaolipenda na wengine watamuomba Mungu awape mvua.
Wakati watanzania wengi wakiwa wanapambana kutafuta dawa za asili za kuongeza maumbile ya dude zao, kwa bwana Chinga ilikuwa ni tofauti, yeye alitokea upande ambao watu walielekea na kwenda upande watu walikotoka.
Chinga alijaaliwa dude nene refu, umri wake ulikuwa ni miaka ishirini na sita, dude lake mwenyewe aliona kama ni mzigo, laiti kama angelipata dawa, angelipunguza na kubaki na umbile alilolitaka.
Maumbile yake ndio yalimuamria mwanamke wa kufanya naye mapenzi, hakuoa bado. Wasichana wa rika lake aliwaogopa maana tayari alishakimbiwa na kama watatu hivi mara baada tu ya kuona silaha ya vita tamu.
Chinga hakuwa na muonekano wa kuvutia sana kusema angeweza kuwavutia wanawake wengi, hakuwa na hela ya kuhonga, kitu pekee alichokuwa nacho zaidi ni dude. Hali hiyo ilimtesa na siku ya kwanza alipomshirikisha rafiki yake Mtuli, alimpa matumaini,
“Hilo sio tatizo, ebu fikiria jambo moja,” Mtuli alisema hivyo
“Jambo gani?”
“Kule chini kunapitisha mtoto, sembuse huo mkwaju wa moja,”
“Kusema kweli ninakoelekea Mtuli ni kwenye mkono na sabuni,”
“Huko ndiko kubaya zaidi, utajikuta unashindwa hata kumridhisha mkeo baadaye, dude limeumbiwa kapuchi sio mkono,”
“Sasa nitafanyaje!”
“Tulia na upunguze Presha nikupe akili,”
“Mtuli acha masihara niko ‘siriazi’ ujue,”
“Uko ‘siriazi’ wapi na wakati tuko wote hapa, au hapa tulipo ndio panaitwa ‘siriazi’ ndugu yangu?”
Chinga alipojibiwa hivyo aliona kama analetewa masihara, alianza kupiga hatua akiondoka
“Subiri rafiki yangu,” Mtuli alimshika mkono na kumrudisha
“Naona unapiga danadala kwenye tatizo langu,”
“Hapana, ina maana hujanizoea tu?”
“Haya nipe ushauri…”
“Sasa sikiliza, labda nianze kwa kukuuliza, wanawake huwa wanakukimbia wakati gani?”
“Nikishaingia nao ndani, nikivua tu wakiona dude wanaleta visingizio wanaondoka, kama kuna huyo mmoja alilia kabisa ikabidi nimruhuse aondoke,”
“Anhaa…bado hujagundua ulikosea wapi?”
“Hapana,”
“Haya, mimi nitakwambia, ulipokosea ni kuonyesha maumbile yako, hutakiwi kuyaonyesha kabisa, mwanamke anachotakiwa kukishtukia ni tayari unapambana kulizamisha tu,”
“Kweli eeh?”
“Ndiyo, tena ikiwezekana iwe ni usiku uzime na taa kabisa,”
“Inaweza ikasaidia kweli?”
“Bila shaka, na kitu kingine, tafuta kilainishi, ulipake dude lako na umpake mwanamke kwenye kapuchi yake, kichwa kikizama biashara imeisha…”
“Dah! Kumbe…”
“Ndio hivyo.”
Mtuli alimshauri hivyo Chinga ambapo alimuahidi kabisa mpaka mwanamke atamletea,
“Kweli utamleta?”
“Ndiyo, wewe cha kufanya nipe tembo wawili,”
“E bwana eh! Yaani ndio hao nilio nao,”
“Utamu gharama aisee,”
“Dah! Sawa.”
Chinga alikubali na kutoa elfu ishirini(Tembo wawili) kisha Mtuli alimwambia giza halitazama amtegemee mwanamke wa kumnyandua.
Chinga aliamini mapema kwani Mtuli alikuwa ni muunganishaji hodari wa matukio kama hayo Hakuna mfano. Miongoni mwa vipaji watu walivyojaaliwa basi Mtuli naye alijaaliwa kipaji hicho.
Yalikuwa ni majira ya saa nane mchana, Chinga alirejea geto kwake, mfukoni alibakiwa na elfu tano tu, akaweka oda ya chipsi na mishikaki pamoja na soda ya baridi, yeye mwenyewe alipika ugali wa kutosha aliorumangia na samaki mmoja mdogo, usinge amini kama ugali ungeisha ungemuona huyo samaki mdogo. Majira ya saa kumi na mbili aliangalia mafuta ya mgando ya ‘Baby care’ ambayo alipanga kuyatumia kama kilainishi chake.
Akiwa amejilaza kitandani alipigiwa simu na Futoko, rafiki yake aliyekuwa akiishi Arusha,
“Unakuja lini jamaa yangu?” Futoko alihoji hivyo
“Kuna mishe nasikilizia ili nijazilizie nauli nije kaka,”
“Fanya haraka, huku mambo ni bambam, ukichelewa hunikuti,”
“Sawa, mimi nataka niwe tajiri mkubwa sana, lazima nije shimoni,”
“Usijali karibu sana, likiwa zari lako madini nje nje,”
“Wiki ijayo lazima nitue hapo mererani kaka,”
“Sawa. Usizingue basi,”
“Sawa.”
Chinga alipomaliza kuongea na Futoko, hakukaa hata dakika kumi na tano, alisikia mlango wake ukibishwa hodi, sauti ya kike ilipoita, ilipenya kwenye masikio yake vyema na kumfanya mwili mzima kumsisimka, dude nalo lilivyokuwa na kihelehele lilidinda, alijua tu ndiye mwanamke aliyeahidiwa na Mtuli.
Chinga alipofungua mlango, ni kweli alimuona mwanamke ambaye alikuwa ni mkubwa kidogo kwake, alimthaminisha kwa haraka mwanamke huyo aliyekuwa ndani ya dera lililomchora, sura ni kama walifanana tu na Chinga ila wowowo sasa!
“Karibu mrembo…”
“Ahsante…”
“Ingia ndani…”
Mrembo huyo alivyokuwa akitembea tu, nyuma laini, mwemwelemwemwele, alikuwa na makusudi kweli, angejua mzigo anaoenda kukutana nao hata asingejishaua hivyo…
MWISHO