MTUNZI : GEOFREY MALWA
Habari zenu ndugu zangu wapenzi wasomaji wa simulizi. Leo nimeguswa kuwasimulia mkasa wangu utakaokuburuidisha, kukufundisha na kusisimua zaidi, sisitizo langu ni kwa wale wenye umri chini ya miaka kumi na nane, mkae pembeni, wakubwa mniazime muda na masikio yenu.
Naitwa Aika, umri wangu ni miaka ishirini na mbili. “Wanawake wenye bikira kwasasa ni wachache sana” kwenye kauli hiyo iliyoongelea vinywani mwa wanaume wengi, mimi niliingia kwenye hao wachache. Sikuwahi kuwajua wanaume, niliwaogopa sana, na zaidi niliogopa kitu kinachoitwa MDUDU. Kupitia simulizi nilizosimuliwa na marafiki zangu, walisema siku ya kwanza kutumbuliwa lazima uhisi maumivu makali sana pia damu itatoka nyingi. Hayo yaliniogopesha mno, sio kwamba sikuwa na kiraruraru, kilikuwepo, ila uwoga wangu juu ya MDUDU na hayo maumivu ndio ulinifanya nibaki kama nilivyo bila kutumbuliwa.
Sio kwamba sikuwa na mpenzi, nilikuwa naye, nilimpenda sana lakini ugomvi wangu mkubwa na yeye ulikuwa huo wa kutaka kunitumbua na mdudu wake, jina lake aliitwa Sajo. Nilishaponyoka mikononi mwake mara kadhaa akitaka kunitumbua. Masikini Sajo! Na alijaaliwa mdudu ulionona, hicho ni kitu kingine kilichonifanya nisimpe kinyama changu cha hamu kilichokaa kama kidonda kibichi.
Mtoto wa kike nilikuwa kawaida tu, sikujaaliwa mvuto wa kutisha, ila kama ujuavyo maajabu ya uumbaji wa Mungu, hawezi kukunyima vyote, atakupa tu baadhi vya kuteka hisia za watu. Kitu cha kwanza ni kifuani, nilijaaliwa chuchu saa mbili kasoro robo, vile vinundu vilikuwa vikijitokeza kabisa mbele na kunesanesa kila nipigapo hatua, na sikuwahi kuvaa kitu ndani, hivyo ziliwatesa wanaume wengi.
Kitu kingine ni miguu yangu, japo sikujaaliwa mwili lakini miguu yangu ilijaa vizuri. Yote tisa, ipo sehemu niliyohisi Mungu alitumia muda mrefu kuniumba. Ni sehemu ambayo mpenzi wangu Sajo huisifia sana tukutanapo, asipoisifia basi ataishika. Aliipenda mno na kunikanya nisije nikanenepa maana ataniacha, nilikuwa nikicheka tu kila aliponiambia maneno hayo. Najua una hamu ya kuijua hiyo sehemu, sijui nikwambie! Ila sawa, acha tu nikwambie, ni kiunoni, nilijaaliwa kiuno chembamba, kilichonipa alama nyingi mpaka kwa wazee kabisa
kabisa waliokuwa wakidai wananitania.
Kiuno kilijibinua chenyewe sio cha kujibinua kama kile cha ugomvi wa wake wenza. Makalio yangu hayakuwa makubwa, yalikuwa wastani ila nilishukuru Mungu yalitikisika ukichanganya na ule mbinuko wa kiuno changu basi nilizalisha burudani kwa walionitazama na niliipamba vyema dunia maana wanawake huwa tunaitwa ni mapambo ya dunia.
Usiku mmoja katika makutano yetu na Sajo, ilikuwa ni njiani tu, kitu ambacho sikuogopa kutoka kwake ni kumruhusu anishike popote tukiwa njiani ila sio chumbani. Alikuwa akiburudika mno na mwili wangu, tulijibana kwenye uchochoro fulani huku mtoto wa kike nikiwa nimekumbatiwa lile kumbatio la mahaba hasa, midomo yetu ilikuwa ikichokonyolana na ndimi zetu kupigana. Mikono ya Sajo ilikuwa ikinishika kifua changu na kunisisimua hatari, kuna wakati nilikuwa nikimzuia kabisa bila ya kujua ndio kama nilimwambia azidishe kushika kifua changu, kwa kutumia vidole vyake alikuwa akipigapiga chuchu zangu mpaka miguu ilikuwa ikiishiwa nguvu.
“Sajo, acha bwana niwahi nyumbani,” nilisingizia hivyo maana tulikoelekea palikuwa ni pabaya
“Kidogo tu jamani,” alinikomalia, si unajua ubishi wa wanaume!
“Mama atanigombeza,”
“Hata mimi nitagombezwa,
“Niache sasa…”
Kule kumsumbua aniache ndio kama kulikuwa kukimchochea akazane kuning’ang’ania.
Sajo hakuelewa somo, niliposhusha mkono wangu chini kwa bahati mbaya, mtume! Niligusa mdudu wake uliokuwa ukiinuka juu chini,
“Nimezidiwa mwenzako!”
“Najua lakini siku nyingine,”
“Mbona geto sio mbali.”
“Unipeleke geto halafu?”
“Mbona unanibania hivyo mpenzi wangu?”
“Nawahi nyumbani.”
Nilizidi kukomaa na kuwahi nyumbani huku yeye akikomaa na mwili wangu bila kunielewa. Alikuwa akiniminyaminya makalio yangu, akaingiza mkono mpaka ndani ya makalio yangu, wakati nikiwa nashangaa akaingiza tena mkono chini ya tisheti niliyoivaa na kuanza kunigusa chuchu zangu, kusema kweli alinisisimua sana mpaka nilianza kuishiwa nguvu, alikuwa akifanya hivyo kwa kuchanganya na kugombanisha ndimi zetu.
Mtoto wa kike nilikuwa hoi, akanishika kiuno bila kuongea na mimi, taratibu akawa ananipeleka geto kwake ambako hapakuwa mbali,
“Sajo mimi siwezi kwenda kwako muda huu,”
niliongea hivyo huku nikiendelea kutembea naye
“Nakupenda sana, kuna kitu nimesahau geto naenda kuchukua halafu nitakusindikiza nyumbani,”
“Sawa, ila utaingia mwenyewe!” nilimkomalia hivyo, yaani hapo mwili wangu ulikuwa umeshakubali, akili pekee ndio iliyobaki ikijitambua.
Tuliwapita watu wengi njiani, lakini nikamshukuru Mungu wangu wa mbinguni baba aliyeumba mbingu na nchi, aliumba wanaume kwa wanawake, Mungu mwenye uwezo wa kumwokoa swala mdomoni mwa mamba, Hakika alitenda miujiza na kwangu pia, tulikutana na rafiki zangu watatu, walinichangamkia hasa, wakanivuta pembeni na kuanza kuongea na mimi, zilipita kama dakika kumi na tano hivi tukiwa tunapiga umbea, hapo hapo nikapata upenyo wa kuondoka nao na kumwacha Sajo aliyekuwa amekereka hasa na kitendo hicho.
Nilipenda kumzawadia Sajo ila niliogopa sana maumivu ya kuchanwa kapuchi yangu. Sajo hakukata tamaa wala hakuonyesha kuchukizwa sana mbele yangu, alikuwa akinipenda sana.
Mimi na mama yangu mdogo ndio tulikuwa tukiishi nyumbani, alinipenda sana mpaka alifikia hatua ya kumuomba mama akae na mimi na alichukua hadi jukumu la kunisomesha, yote hayo aliyafanya akisema eti nimefanana naye kwa kila kitu, wapo waliosema kuwa huyo ni mama yangu mzazi.
Nilipoona Sajo anakuwa msumbufu, nilimpiga kibuti. Alinililia sana, nilivimba kichwa lakini sikumhitaji tena, sababu iliyochangia Sajo kupigwa kibuti alikuwa ni jamaa fulani aliyekuwa na muonekano wa kiarabu, nilivutiwa naye mno, alikuwa na gari lakini sikupenda kulizoea maana bado sikuwa tayari kutoa kapuchi yangu.
Sijui kichwani mwangu nilikuwa nikiwaza nini, nilijifunza kuwa Hakuna uhusiano ambayo utamridhisha mwanaume bila kutoa kapuchi, Sajo na huyo mwarabu wote walikazania sana kapuchi, mwarabu ndio alinitamanisha kabisa eti nikimpa kapuchi yangu mpaka gari anaweza akaninunulia. Kusema kweli nilikuwa nikipenda sana nywele zake na jinsi sura yake ilivyo kama ya mtoto, mambo mengine sikukubali kabisa.
Siku moja mwarabu baada ya kuangalia mechi ya mpira wa miguu, alihitaji niingie ndani ya gari anipeleke nyumbani, sijui nilipitiwa na nini nikakubali kupanda gari yake aina ya ‘Rav4’ Kumbe yule mshenzi alikuwa amepanga kuninyandua,
kila siku nilikuwa nikimzungusha, hakujua kuwa nilikuwa sijawahi hata siku moja.
Kwa jinsi nilivyo na maneno mengi pia hata namna ninavyojiweka mbele za watu, iliwawia vigumu wengi wao kujua kuwa nilikuwa sijawahi kufanya hayo mambo.
Nilivyokuwa ndani ya gari ndio nikapata ufahamu kuwa kuna weza kutokea ‘ubakanifu’ ndani ya gari,
“Naomba unishushe hapa hapa,” nilimwambia
“Napajua nyumbani kwenu,”
“Ndio lakini napitia kwa mama mjomba kwanza,”
“Huna mjomba, najua unaishi na mama mdogo wako tu.” aliponijibu hivyo japo nilijitetea lakini hakunielewa.
Basi akapokea simu yake ambayo hata sikuisikia ikiita, akaongea mwenyewe na kumwambia huyo mtu kuwa amsubiri hapo hapo anakwenda muda huo. Akageuza gari na kuanza kuelekea nipopaelewa,
“Huku wapi sasa?”
“Kuna mahali nahitaji unisindikize,”
“Nitachelewa nyumbani bwana.”
Tulizoana hivyo ambapo mimi niliketi siti ya nyuma, akafika mahali fulani palipokuwa na giza kidogo, mbali kidogo na makazi ya watu, akaegesha gari pembeni kisha akanifuata siti ya nyuma. “Mtume! Leo nimekwisha.” Nilijisemea hivyo ambapo kwa dalili nilizoziona wala hazikuwa za kuniacha salama.
“Mpenzi wangu, umenizungusha sana, leo nahitaji japo kidogo tu, ndio maana nimekuleta huku mafichoni,” aliponiambia hivyo, niliogopa
“Sasa jamani si ungesubiri mpaka jumamosi tulikubaliana,”
“Tulishakubaliana siku ngapi! Lakini ikifika hiyo siku hukosi sababu, kila siku uko mwezini na hujagundua hata sayari mpya!”
“Nielewe basi,”
“Leo lazima unipe, acha jamii ione nimekubaka, nimekupenda sana ndio maana.”
Hakuwa na masihara mwarabu, alichomoa kinga kutoka mfuko wake wa nyuma kisha akanisogelea, kurupushani zikaanza. Alikuwa akinishikashika kifuani huku akijaribu kuvamia kapuchi yangu na mkono wake usiokuwa na adabu, kwakweli nilianza kumuomba Mungu wangu anisaidie kama alivyonisaiia kwa Sajo marafiki zangu wakatokea, sikujua ni kwa namna ipi ningeweza kujitoa mikononi mwa simba mwarabu.
Kweli nilianza kupata hisia taratibu lakini sikuwa tayari kunyanduliwa naye, hisia zilikuja sio kwasababu alikuwa aakinishikashika maeneo yenye msisimko bali nilikuwa na hisia naye pia, kumbuka kuwa alikuwa ni mpenzi wangu ambaye nilikuwa
nikishiriki naye mambo kadha wa kadha kasoro kapuchi tu.
Ile sketi yangu niliyoivaa ilikuwa na mpasuo kidogo hivyo kwenye kurupushani ikachanika mpaka huku juu ya kiuno kabisa. Mwarabu kweli alidhamiria, alifanikiwa kuingia katikati ya mapaja yangu, akashusha suruali yake pamoja na nguo ya ndani.
Ule mdudu wake ukawa unanigusagusa mapajani, sio kwamba nilikuwa sihangaiki ila aliweza kunibana, kichwa cha mdudu wake kilipiga hodi kwenye kapuchi yangu,
“Sikia mpenzi nakupa, nakupe mwenyewe,”
“Wewe ni muongo,” Aliposema hivyo alipeleka kiuno mbele, hakuwa na uhuru wa kukipeleka sna kiuno mbele kwasababu nami nilimbana pia
“Kweli tena, naomba uvae kwanza kinga, si unajua mimba,”
“Sawa.”
Alipokubali tu, nilijua atatoka katikati ya mapaja yangu Kumbe wapi! Alivalia kinga yake huku nikishuhudia mdudu wake ulivyonona na ulininyookea haswa, “Huu wote uzame kwenye kapuchi yangu? Kidole chenyewe hakipiti sembuse mdudu huu?” nilijisema hivyo kimoyomoyo na kuanza kumwelekeza jambo,
“Naomba nikwambie kitu kuhusu mimi mpenzi wangu najua unanipenda na utanisikiliza,”
“Sema,”
“Sijawahi kufanya mapenzi tangu nizaliwe, kwahiyo ukiniharakisha nitasikia maumivu makubwa, naomba uende taratibu,” nilionyesha kukubali kunyanduliwa kwa kusema hivyo
“Sawa mpenzi nimekuelewa, kweli hujawahi?”
“Sasa nitakudanganya wakati muda si mrefu utathibitisha mwenyewe,”
“Kweli? Kama mimi ndio nitakuwa wa kwanza, basi nitakupa zawadi nono sana,”
“Mimi sihitaji zawadi, nakupenda sana mpenzi wangu ndio maana nakupa usichana wangu,”
“Usijali, hapa umepata mwanaume sahihi,”
“Nakupenda sana mume wangu,”
“Mimi ndio nakupenda mno,”
“Lakini ningependa nikuombe kitu,”
“Chochote niambie,”
“Naomba tutafute mahali pazuri ili hata nisiwe na uwoga wowote,”
“Unamaanisha mahali kama gesti au hoteli, hautachelewa kurudi nyumbani?”
“Kwa siku moja tu sio mbaya.”
“Hilo limeisha,”
“Na uninunulie sketi maana hapa siwezi kushuka nikiwa hivi.”
Basi alikubaliana na mimi kisha tukaelekea mpaka ‘Lodge’ iliyokuwa nzuri kweli kwa nje, pembeni ya Lodge hiyo palikuwa na duka la nguo. Alishuka kaka wa watu na kwenda kuninunulia khanga ya kujifunga, nilijibebisha na kumwambia asichelewe.
Kila siku huwa nasema Mungu huwa hamtupi mja wake kama utamuomba kwa hisia na kweli. Alijionyesha tena wakati huo ambapo tayari adui yangu alishanielekezea kibra kunichinja. Furaha niliyoipata pale nilipojaribu kufungua mlango na ukafunguka! Ilikuwa ni zaidi ya furaha niliyowahi kuisikia popote tangu nizaliwe. Kumbe hata naye alikumbuka kuwa milango ya gari ‘hakuilock’ hivyo alipokuwa akirejea kwa haraka alinishuhudia ndio nikiwa nimetoka nje ya gari, eti alijua ni kweli angeweza kuinyandua kapuchi yangu kirahisirahisi tu, zikaanza mbio, waarabu na mbio wapi na wapi, hakujua kuwa mpaka wilayani walinijua jinsi nilivyokuwa nikishinda kwenye riadha, tena sketi yangu ilinipa nafasi kubwa ya kupanua miguu kwa jinsi ilivyochanika.
Zilikuwa ni mbio za kutoangalia nyuma, mwarabu alichoka na kuniacha hasa pale nilipoingia kwenye changanyikeni ya watu. Moja kwa moja nilikwenda kwa rafiki yangu Mwanaisha. Alikuwa akiishi na wazazi wake hivyo nilimvizia mpaka alipotoka nje nikamwita na kumuomba khanga, alikuwa na maswali mengi huku naye akiogopa, alinisaidia kisha nikarejea nyumbani.
Habari yangu na mwarabu iliishaa hapo. Sijui Kwanini mtu akiwa ananilazimisha sana kuninyandua naanza kumchukia. Nilimchukia sana mwarabu, nilipenda kuwa na mwanaume lakini asinilazimishe kuninyandua. Bado taswira ya kuhisi maumivu ilitawala Kichwani mwangu na kuniogopesha mno.
Nilimaliza kidato cha nne na matokeo yalitopoka, hayakuniruhusu niendelee na kidato cha tano hivyo mama mdogo aliniambia nimsubiri atafute pesa kisha atanipeleka chuo nitakachochagua.
Wakati nikiwa namsubiri ili anipe pesa, ndo wakati ambao nilikuwa nikidamshi hasa, sijui shule ndio ilikuwa ikinibana sana, niliongezeka kidogo, watu wakawa wanadata na mimi hatari, walionitongoza wakipanga foleni basi huyo mtu wa mwisho hata nisingemuona. Nilijipa mapumziko mafupi maana sikutaka kurupushani na wanaume.
Ikawa vyema machoni mwangu wazo la kwenda kusomea Kompyuta katika chuo cha Veta. Tulikuwa tukilipa kwa ‘Programu’ kwakweli nilipenda sana kujua Kompyuta na mama mdogo hakupinga, aliniwezesha kisha nikaanza kusoma.
Moyo ukaanza kihelehe chake, nilijaribu kuutuliza lakini wapi!
Mimi mwenyewe ndiye niliyekuwa nikiwakimbia, na mimi mwenyewe ndiye niliyekuwa nikiwatamani, “Moyo koma, sukuma damu usiwe na kihelehele, mbona hutamani magari mshenzi wewe!” niliusema hivyo moyo wangu nikitumaini utaacha.
Ndani ya chumba cha Kompyuta nilikuwa hata sielewi mwenzenu, kila nilipomuona huyo kaka nilijikuta tu moyo wangu ukifurahi bila sababu, siku ambazo hayupo, nilijikuta nikimkumbuka eti! Na nilishindwa nimuulize nani kwani sikujenga urafiki naye na sikuweza kumfuata na kuongea naye.
Nilikuwa nikimwangalia sana, alipojaribu kuniangalia kwa bahati mbaya nilijifanya naangalia sehemu nyingine, ile kukutana macho kwa macho ikamfanya aamke kihisia. Kwanza mtoto mwenyewe nilikuwa nalipa, hilo umbo langu lenyewe la kimataifa nilijikubali, sikuwa na wowowo kubwa kama mzigo, mtoto wa kike nilichongwa na Mungu nikakubali kuchongeka. Na nilipenda sana kuvalia nguo zilizoniacha miguu wazi ili waone nilichobarikiwa.
Siklu moja alinifuata na kunitongoza moja kwa moja, nilishangaa, alijitambulisha mwenyewe na kuanza kumwaga sera zake, eti hajawahi kuona mwanamke mzuri kama mimi, moyoni nilijisemea, “ukianza tu habari zako za kutaka kunyanduana ujue umenikosa” ilibidi nimzungushe kidogo kisha nikamkubalia. Kwa majina aliitwa Nasri Koba, yeye alikuwa na ‘Laptop’ (Kompyuta mpakato) yake kabisa.
Mahusiano yakaanza, alinivutia kutokana na jinsi alivyooka, alikuwa ni mrefu aliyepanda hewani, hakuwa na mwili sana ila alikuwa ni ‘Hendsamu’ wa ukweli. Rangi nyeusi fulani mterezo, sio kama mwarabu, mwanaume mweupe pe! Kwanza siku ile kwenye purukushani alishaanza kuwa mwekundu, je hiyo kitu yake baada ya shughuli ndio ingekuwaje? Si ingeonekana kama imepakwa rangi nyekundu! Nilimsema mwarabu utadhani alikuwa akinisikia.
Nasri alianza kuonyesha utofauti, alikuwa na aina fulani ya mapenzi ambayo sikuwahi kuyaona kwa Sajo, Mwarabu wala yeyote niliyewahi kuwa naye. Kwanza nilimshukuru Mungu kuwa kila mpenzi niliyempata alikuwa kidogo si haba kwenye mambo ya mshiko, ni Sajo peke yake sijui alinitokea wapi.
Nasri alikuwa ni kiboko aisee, alinionyesha mapenzi mpaka nikasema kama siku ikitokea akaniomba kapuchi nitampa. Alinijali,
sijui mambo ya chakula cha mchana, nilichagua mimi nilihitaji kula nini. Nilikwenda naye sehemu mbalimbali nzuri za kufurahia watu wawili wanaopendana.
Siku moja alinipeleka nyumbani kwao, alikuwa akiishi na kaka yake tu. Basi moja kwa moja tuliingia chumbani, moyo wangu ulikuwa kudukudu jinsi ulivyodunda, maana nilijua mwanaume ukiingia naye chumbani lazima akunyandue.
“Karibu sana chumbani kwangu,” alinikaribisha mwenyewe
“Ahsante,”
‘Hapana sitaki ukae kwenye kochi, nataka uje hapa kitandani,”
“Hapana, hapa panatosha!”
“Usinitanie bwana.” Alipoongea hivyo alininyanyua kw akunishika mkono kisha akanivutia kitandani. Yeye akavua shati na kubaki na vesti, akatoka chumbani kisha akarejea akiwa na juisi mkononi mwake. Ilikuwa ni juisi ya embe, wala sikuvunga, niliipiga yote haraka,
“Nikuongezee?”
“Lete ndoo nzima.” Nilimtania hivyo kisha tukacheka tu.
Ndani ya chumba chake kulikuwa na runinga kubwa, kitanda kizuri pamoja sofa la siti mbili, bila kusahau bakati la nguo lililojengewe kabisa ukutani.
Basi aliwasha runinga, zilikuwa ni hizi za kisasa ‘Flatiskrini’ kisha akaunganisha na ‘Padi’ zile za kuchezea ‘Game’ e bwana eh! Sikuwahi kutumia tangu nizaliwe, akanielekeza kisha tukawa tunacheza ‘Game’ la mbili za magari. Nilitokea kuupenda huo mchezo hasa pale nilipokuwa nikishindana naye na kumpita, mpaka yeye mwenyewe alishangaa jinsi nilivyoujulia huo mchezo kwa haraka hivyo.
Kuna muda tulibadilishana ndimi zetu kabisa huku nikijiachia kifuani mwake kisha tukaendelea na mchezo wetu wa mbio za magari, “Hivi ni kweli inawezekana mwanaume aingie na wewe chumbani halafu akuache hivihivi bila kukunyandua?” nilipojiuliza hivyo sikupata majibu maana Nasri hakuonekana kabisa kuwa na hilo wazo Kichwani mwake japo tuliketi kitandani. Mara ghafla umeme ukakatika, wote tukajikuta tukiwalalamikia tanesco.
Tukaacha kucheza ‘Game’ na kuanza kupiga stori huku mkao wetu ukielezea kila kitu, kusema kweli nilikua tayari kunyanduliwa kabisa lakini jamaa ni kama hakuwa na hilo wazo. Alikuwa ni mwanaume wa kwanza kunifanya nijiwazie vibaya kwamba yawezekana nina kasoro. Ila sisi wanawake bwana, waliohitaji waninyandue kwa lazima niliwaona hawafai,
sasa huyo hakuhitaji minyanduano kwa haraka na bado nilimfikiria vibaya.
Huwezi amini, siku hiyo ilipita ‘kapa’ yaani hatukunyanduana kabisa. Nilirudi nyumbani na kujiangalia kwenye kioo ili nigundue kasoro niliyonayo iliyomfanya Nasri kuniacha nikatoka bila hata kunigusia suala hilo. Nilichukua simu na kumpigia, hiyo ilikuwa ni usiku kama kawaida yetu kuongea mpaka mmoja wetu atakapopitiwa na usingizi.
Kupitia simu nilimsifia jinsi alivyo wa tofauti na wanaume wengine, nilifunguka mpaka nikwamweleza ushujaa wake alionionyesha mchana. Alishukuru kisha akaniambia hajanipendea kapuchi, alisema mimi ni mstaharabu na nina akili ya maisha, aliniambia kabisa kuwa eti mimi sio mtu wa wanaume na kuna dalili zote kuwa mimi ni sijawahi kufanya tangu nizaliwe, aliotea ukweli huo ulioniacha na maswali mengi yaliyoongozwa na swali la “Amejuaje?” swali ambalo hata yeye hakutoa majibu yaliyoeleweka.
Ilipofika kesho yake asubuhi, wakati nikiwa najiandaa kutoka niende chuo kujifunza kompyuta, mama mdogo aliniambia kuna kijana atakuja na tutaishi naye hapo, sura ya mama mdogo ilionyesha dhahiri ina machungu mno, nilishtuka kumwona akitokwa na machozi,
“Unalia! Kuna nini mama?”
“Huyo kijana ni kaka yako,”
“Kaka yangu uliyeniambia alikuwa na tabia mbovu akafungwa jela?”
“Ndiyo,”
“Kwahiyo ndio ametoka jela?”
“Ndiyo, sidhani kama tabia yake atakuwa ameacha, hivyo weka sawa vitu vyako.”
“Hamna shida.”
Basi nilimbembeleza mama mdogo kisha akaanza kunitania jinsi nilivyopendeza, nilivalia gauni fulani tegeshi, lenye mpasuo nyegeshi, huko usoni nilijipura nikapurika mama! Nywele zangu zilizibaba kwa nyuma, basi lile umbo langu la kimodo na ule urefu fulani niliringa nao kweli,
“Haya msalimie mkwe wangu,”
“Mama mdogo jamani mimi naenda chuo,”
“Najua, haya bana.”
Nilikwenda chuo huku mama mdogo akijua hela aliyolipa bado inatumika, Kumbe ‘programu’ tulishamaliza na tuliingia nyingine ambayo Nasri ndiye aliyehusika. Alinipenda sana huyu mwanaume, kuna muda nilitawaliwa na hisia mpaka nikawa najiuliza Kwanini nisimpeleke nyumbani mama mdogo amjue tu.
Hisia za kuolewa nilikuwa nazo, siku hiyo alinipa somo, nami nilikiri kwake mambo mengi. Hiyo ilikuwa ni baada ya
kumaliza kufundishwa kitu cha siku hiyo, tulikuwa mgahawani tukila taratibu huku muziki kutoka kwenye simu yake ukitusindikiza.
“Nikwambie kitu?” Nasri aliniambia hivyo
“Niambie tu hakuna shida,”
“Wewe ni muoga sana wa kunyanduliwa, kwanini?”
“Umejuaje hayo?”
“Naishi na wewe halafu nisikujue?”
“Ni kweli, sijawahi kunyanduliwa hata siku moja,”
“Ina maana mdudu wa mwanaume hujawahi kuuona?”
“Nilishawahi tena ya wanaume tofauti, kabla yako kulikuwepo na wengine waliojaribu kutaka kula tunda kwa pupa mwishowe wakaambulia kudondoka chini ya mti,”
“Kwanini hao wote walishindwa?”
“Kwasababu nilikuwa naogopa sana maumivu,”
“Ni kweli lakini ukiamua kutoka ndani ya moyo wako kwamba unataka ufanye hicho kitu, wala hutosikia maumivu kabisa.”
“Kweli?”
“Ndiyo, ila ukilazimishwa lazima utasikia maana kutoka kwenye akili yako hujakubaliana na jambo hilo,”
“Kwahiyo ndio maana wewe hukunilazimisha?”
“Ndiyo, sina haja ya kukulazimisha, nakupenda sana,”
“Kwahiyo uko tayari tuishi bila kunyanduana?”
“Niko tayari, nilishajipanga hivyo kabla sijakutongoza, lakini haimaanishi sikutamani au haunivutii, ni kwasababu naheshimu maamuzi yako,”
“Nashukuru sana, nakupenda Nasri, mimi nataka unitoe, ila kweli husikii maumivu?”
“Kweli hutayasikia,”
“Kwani wewe una nanihii…nanihii mdudu mkubwa?”
“Wa wastani tu, mkubwa kwani nataka kwenda kwenye mshindano?”
“Kwenye wiki hii nitapanga siku halafu nitakuzawadia, na yote hayo ni kwasababu nakupenda,”
“Ahsante sana,”
“Ni kweli huwa inakuwa tamu mpaka unaweza ukasahau unafanya nini?”
“Ndiyo, ukifikishwa kileleni hutatamani kumwacha mwanaume huyo,”
“Yesuu…kweli?”
“Ndiyo, ni raha ambayo huwezi kuielezea,”
“Mh! Mbona unanitamanisha hivyo?”
“Huo ndio ukweli.”
Basi tulijibizana hivyo na mpenzi wangu Nasri ambaye alikuwa akinidekeza sana. Nilimpenda kuliko kawaida, sikutaka kusikia chochote kutoka kwa yeyote kibaya kuhusu mpenzi wangu.
Siku hiyo nilichelewa kidogo kurudi nyumbani, niliporejea nilimkuta mama mdogo akiwa na huyo kaka aliyetoka jela. Ngozi yake ilikuwa ya ajabu, Kichwani alinyolewa kipara. Basi alinyanyuka na kunisogelea, alifanana na mama mdogo kupita maelezo, yaani kifupi wote humo ndani tulifanana,
MWISHO