Search This Blog

Sunday, July 24, 2022

BABY SIO HUKO

  

MTUNZI : GEOFREY MALWA



Kama kwenye maisha yupo mtu ambaye sio mlevi basi ana bahati sana na ayashukuru mazingira aliyopitia kwani yalimuacha salama. Ulevi ninaouzungumzia sio wa pombe tu, bali wa vitu vingi ambavyo huwezi kuacha kuvifanya na sio salama kwa afya yako ya akili na mwili, pia vinaweza kukuharibia mahusiano yako na mwenza wako au jamii nzima kabisa.

Nia, alikuwa ni msichana mwenye miaka ishirini na tano, mrembo, mpole na kubwa zaidi aliolewa japo hakuwa akifurahia ndoa yake kwa muda mrefu.

Nia hakujaaliwa kupata mtoto, aliishi na mumewe pamoja na dada wa kazi hapo nyumbani. Walipanga nyumba nzima na walijitahidi kuipamba na kuonekana ni nyumba yenye hadhi, lakini hayo yote hayakuweza kumpa furaha Nia.

***

“Kaka unakumbuka jana ulinishauri nimruhusu aende kukimbia marathoni?”
“Ndiyo,”
“Hebu soma hizo jumbe, nimezipiga picha,”
“Kaka hebu achana na pombe kwanza,”
“Nifanye nini? Kaka naumia…”
Mazungunzo hayo yaliendelea kati ya Joni na Ganza, walikuwa ni marafiki, Joni alikuwa ndiye mume wa Nia. Jumbe zenyewe zilikuwa kama ifuatavyo, Nia akiwa anatumiana na mwanaume mwingine,
“Umeamka poa mwanamke mwenye shepu yake?”
“Niko poa sijui wewe mwenye nini yako..”
“Nini nini hiyo?”
“Ni nini tu,”
“Niambie jamani,”
“Haya, mwenye mbio zako,”
“Hahaa! Sawa bwana, katika maisha yangu sijawahi kuona mwanamke mzuri kama wewe,”
“Ahsante, hivi mimi ni mzuri eh?”
“Sana, yaani mpaka ile jana nikakuota,”
“Uliniotaje?”
“Hutapenda kusikia,”
“Niambie tu,”
“Nilikuota nakufaki, yaani nilikubinua hilo wowowo, nilikunyonya kila mahali, tena nilivyokuwa nakunyonya kei ulikojoa kabisa na kuniambia hujawahi kufanyiwa hivyo, basi ukaanza kuniambia kuwa eti uliponiona mara ya kwanza ulitamani sana obo langu jinsi lilivyojichora kwenye zile jezi za marathoni zilizonibana, ukaniambia hujawahi kufakiwa mpaka ukaomba poo, ukawa unanisifia mimi ni mashine, yaani nilitamani iwe kweli,”
“Kha! Wewe mkaka jamani,”
“Nisamehe tu kwa ndoto yangu chafu,”
“Kwahiyo ukafanya hivyo bila kuona kinyaa?”
“Yaani kinyaa nione kwa mwanamke mzuri kama wewe?”
“Mh! hivi unaongea hayo yote wifi hayupo?”
“Yupo ila ana maringo mno,”
“Kivipi jamani,”
“Anasema kuwa hataki kuchoshwa eti,”
“Mh! haya bwana,”
..

MWISHO






Blog