Search This Blog

Sunday, July 24, 2022

KY

  

MTUNZI : GEOFREY MALWA




“Kuna mwanamke mzuri sana huku kijijini mwanangu,”
“Kijijini kabisa? Ndio mrembo wa kijiji?”
“Usifanye utani, itakubidi umuoe,”
“Mama, nilikwambia lakini nina mchumba tayari,”
“Hujui kuchagua, nakujua mwanangu tangu unakua hukuwa na kipaji hicho,”
“Mama hizo zama zimeshapita, sasahivi mambo ni tofauti,”
“Hujui bado tofauti, nakwambia hujamuona huyu mwanamke, ukimuona mwenyewe utazima data,” nilicheka sana
“Mama umejifunza wapi hayo maneno?”
“Unafikiri mjanja peke yako,”
“Haya bwana, lakini mkweo yupo huku,”
“Simtambui huyo, namtambua huyu wa huku kijijini,”
“Anaitwa nani?”
“Kamami Yunzige,”
“Nzige tena mama!”
“Wewe umeelewaje?”
“Nzige wadudu,”
“Mpuuzi mmoja wewe, jina la baba yako Kinyuki ni zuri?”
“Sawa mke wa Kinyuki,”
“Huyo mwali wangu huko mwambie hana chake,”
“Sawa mama.”
Simu nilikata, huyo alikuwa ni mama yangu nikizungumza naye kupitia simu, tulizoea kutaniana sana,
“Niki, hivi unajua wazazi wako siwaelewi kabisa!” aliniambia hivyo Sali, mwanamke aliyenipenda kupita maelezo
“Kwanini jamani,”
“Inaelekea hawajanipenda, kila siku ukiongea nao wanakwambia kuhusu huyo msichana wa kijijini,”
“Jamani, hivi unamsikiliza mama? Mtu wa utani huyu mzoee,”
“Utani ndio ujirudie kila siku?”
“Mzoee bwana, mimi sioni ubaya hapo,”
“Haya, mama mtu wa utani, na baba yako je?”
“Hawamaanishi chochote usijali,”
“Sawa, na wanaonekana hawanikubali,”
“Kwavile hawajakuona mke wangu mtarajiwa, usiwe na hofu,”
“Sawa, lakini kwavile wewe unanipenda nina amani.”
Sali nilikuwa nikiishi naye nyumbani kwangu, tulishaweka malengo mengi tu mojawapo ikiwemo kuoana.



Siku moja niliposhika simu ya Sali, nilikuta jumbe nyingi mno akitongozwa, wengi aliwakataa ikanivimbisha kichwa lakini kuna mmoja alimjibu “Subiri nifikirie” nililisoma hilo jibu mara mbili, wakati huo yeye alikuwa jikoni akikaangiza, nilinyanyuka na simu yake mpaka jikoni,
“Mume! Mbona una jazba?”
“Huyu uliyemjibu kuwa utamfikiria ni nani?”
“Jamani Kumbe una wivu?” alinijibu kirahisi huku akicheka
“Sina masihara, huyo ni nani?”
“Jamani, kwani nimemkubalia?”
“Kwahiyo umeshamfikiria?”
“Wala hata simkumbuki, nimfikirie ili iweje, nilimjibu tu hivyo ili asinisumbue,”
“Tena umemsevu kabisa jina lake,”
“Mume wangu jamani acha hizo bwana…”
“Usiniguse.”
Niliondoka jikoni na kuelekea sebuleni, nilijifanya nimechukia kweli, Sali akaanza kulia, alitokwa na machozi kabisa,
“Mume wangu naomba unisamehe, basi sitotumia tena simu kaa nayo,”
“Sawa usijali,”
“Umenisamehe kweli?”
“Ndiyo usijali.”
Nilipomwangalia Sali kwa jicho la tatu, nilianza kutamani yale makalio yake, alikuwa na umbo fulani la kawaida tu ila nyuma alivimba kidogo. Sali wangu Mungu alimnyima miguu, pia kifuani palijaa mno.

Basi lile gauni alilolivaa nilifanya kulipandisha tu, ndani alikuwa na nguo ya ndani, nikaishusha,
“Sebuleni hapa, mtu akija ghafla?”
“Usinikatishe, acha nitoe hasira zangu,”
“Kwahiyo hasira zako ziko kwenye dudu?”
“Usiongee tena.”
Ni dudu lilipakwa mate, hakukuwa na kuandaliwa wala nini, mwanzoni lilikwama lakini mate yalisaidia, likazama lote mpaka ndani. Nikaanza kumnyandua huku kiuno kikiwa juu ya kingo ya kochi la sofa, kuanzia kiunoni kupanda juu alikuwa kwenye kochi, ila miguu alisimama.

Nilimkandamizia dudu ambapo hakuwa na jinsi zaidi ya kukubali kilichokuwa kikiendelea. Tako ishirini na mbili nikalimwaga ndani huku akiwa kama najifunza kusoma herufi a.
“Hasira zimeishia?” aliniuliza
“Ndiyo,”
“Karibu siku nyingine,”
“Tutaonana wakati wa shida,”
“Mimi Naenda kupika, kwani tunaendelea?”
“Kapike, tutaendelea baadaye. Hapa nimepiga tu mswaki.”



Kazi yangu kubwa ilikuwa ni uuzaji wa urembo, ni kazi iliyoendesha maisha yangu na nilikuwa na duka kubwa sana la urembo wa wanawake. Nilishtegeneza jina kubwa na nilipata wateja wengi sana. hesabu zangu nilizifunga kwa wiki na kusema kweli nilimshukuru Mungu kwa kipato hicho ambacho pengine wengine walikuwa wakitamani.

Siku moja nikiwa dukani, Sali aliniletea chakula, mama akawa anapiga simu, niliogopa kupokea kwani nilijua Sali atajisikia vibaya mama akianza utani wake.
“Pokea tu, akupe habari za yule mrembo wa kijiji,” Sali alisema kishari
“Lakini…”
“Nimesema pokea, usije ukasema nimekuzuia bure,” Sali Aliposema hivyo kwenda kuketi kwenye sofa, hapakuwa mbali na nilipo, nikapokea,
“Mbona umechelewa kupokea simu?” alinihoji mama
“Nilikuwa na kazi mama, shikamoo,”
“Marhaba hujambo?”
“Sijambo, za huko?”
“Za huku ndizo zilizonifanya nipige simu mwanangu,”
“Umeanza hivyo, usiniambie kuhusu huyo mrembo wenu,”
“Kumbe na wewe umeshaanza kuwa hamu ya kumsikia eh?”
“Mama usiniambie hizo habari bwana,”
“Acha wenge wewe mtoto, nimeshaongea naye Kamami na amekubali,”
“Amekubali nini sasa?”
“Amekubali kuolewa na wewe, sasa jiandae,”
“Nijiandae kitu gani?”
“Wewe shikilia hivyo, nimekwambia jiandae,”
“Mama, hivi unajua unamkosea sana mchumba wangu?”
“Mchumba gani?”
“Sali,”
“Sali ndio nani,”
“Huyu mwanamke ninayeishi naye huku,”
“Yupo hapo karibu niongee naye?”
“Yupo, ila Unataka kuongea naye nini?”
“Nataka nimuulize ni mwanamke gani kwa maadili ya kiafrika, kabla hata hajatambulishwa ukweni amehamia nyumbani kwa huyo bwana. Ana akili timamu kwanza, wazazi wake wanajua kuwa yuko kwako?”
“Hayo mambo bwana mama,”
“Usinichanganyie Kiswahili, nakuuliza wazazi wake wanajua? Niko siriazi sasa,”
“Ndiyo,” ikabidi nimdanganye hivyo
“Yaani nashangaa binti hana akili timamu kumbe mpaka wazazi wake ni chenga, wamewezaje kumruhusu mtoto wao akakaa kwa mwanaume bila hata taratibu kufuatwa?”
“Mama kuna wateja hapa naomba niwahudumie,”
“Ukikata hii simu mimi sio mama yako tena,”
“Jamani, ndio nini hivyo mama?”
“Naomba umrudishe huyo mwanamke kwao, Sitaki wajukuu wasiokuwa na akili Kichwani, kama mama yao ameshahamia kwa bwana kabla hata ya mahari,

...................

wajukuu wangu si ndio hata shule watagoma?”
“Sawa mama nimekuelewa,”
“Nitakwambia lini nakuja kukusalimia,”
“Sawa. Mama karibu.”
“Sawa mtoto wa Kinyuki,”
“Haya mke wa Kinyuki.
Nilikata simu ambapo sikumuona tena Sali. Alishaondoka bila hata kuniaga, bila shaka alikasirika.

Kabla mawazo ya Sali hayajapotea Kichwani mwangu, walikuja marafiki zangu Lukasi na Mjema,
“Aisee huo mwendo wa shemeji kuna usalama kweli?” alihoji Mjema
“Wanawake hawa bwana,”
“Nilishakwambia achana naye, mwanamke mwenyewe mbaya!” alisema Lukasi, mara nyingi damu yake haikuendana na Sali
“Oya, ebu acha kejeli, panya wewe!” Mjema alimwambia hivyo Lukasi
Basi tulipiga stori mbili tatu kisha wakawanunulia wake zao urembo na kuondoka.

***

“Nakuja, nimepanda basi la Kipwakite, litafika huko saa moja jioni kama pasipotokea hitilafu yeyote, nikukute stendi unipokee mwanangu.”
Ujumbe huo ulitoka kwa mama yangu, ulinishtua kwavile ilikuwa ni ghafla, nilipompigia alipokea,
“Mama ni kweli unakuja?”
“Ndiyo, nipo njiani, naomba nikute chakula ulichopika wewe na sio huyo mwanaizaya asiojua vibaya,”
“Mbona kama haupo kwenye basi mama?”
“Hivi wewe mtoto una kichaa? Mama mzazi anakwambia anakuja unaanza kumuuliza maswali mengi badala ya kufurahia? Ndio anavyokufundisha huyo mwanamke?”
“Basi mama, karibu nyumbani jamani,”
“Hayo ndio maneno.”
Basi nilikata simu ambapo nilijua wazi taarifa hizo nikimpa Sali itakuwaje lakini haikuwa na jinsi.
“Mama yako hanipendi, kama anakuja itabidi niondoke tu,” aliongea Sali kwa shingo upande
“Ningetamani ubaki lakini mama namjua ni mkorofi sana,”
“Sawa, kwahiyo atakula nini?”
“Tutampikia halafu akikaribia kurudi wewe utaondoka,”
“Sawa. Anapenda chakula gani?”
“Pilau la kuku, analipenda sana,”
“Sawa.”
Basi Sali alinisaidia kupika na alipomaliza alikwenda kwao.

Yalipofika majira ya saa moja jioni nilisogea stendi kumpokea mama aliyeniambia ndio anakaribia kufika. Nikiwa namsubiri mama, kuna mrembo mmoja nilimuona, alikuwa mzuri kweli, alivalia sketi na blauzi, ikabidi nijisogeza taratibu na kumsalimia,
“Mambo mrembo,”
“Freshi, za kwako!”
“Nzuri, mzima?” alinijibu hivyo ambapo aliniangalia kama ananijua vile kisha akatabasamu



“Kuna mtu unamsubiria?”
“Ndiyo,”
“Samahani, unaweza ukinipa namba yako ya simu?”
“Sawa,” akanitajia namba yake, nikaiandika
“Unaitwa nani?”
“Hapa namsubiria mume wangu kwahiyo jina nitamtajia mume wangu tu,”
“Mume wako umtajie jina?”
“Ndiyo,”
“Haya bwana, basi tutawasiliana…”
“Poa.”
Yaani huyo mrembo alinivutia mno, kuanzia ongea yake, jinsi alivyo umbo lake, nilitokea kumtamani sana. nikamsevu kwa jina la “Mzuri”

Nikiwa hapo Stendi nilimsikia jamaa mmoja akiongea na simu kuwa basi la Kipwakite limeshapita kama dakika arobaini hivi zilizopita, ikabidi nimfuate kuhakikisha,
“Ndio hivyo, mbona limepita muda mrefu sana!” alinijibu hivyo, nikasikia yule mrembo aliyenipa namba kama alikuwa akinicheka hivi japo hakuonyesha wazi.

Nikiwa nataka kumpigia mama, yeye akawahi kunipigia, nilipokea,
“Mbona sikuoni mama na basi limeshapita?”
“Usijali, mgeni wako ameshafika,”
“Mgeni wangu?”
Mama aliposema hivyo alikata simu, alipokata simu alinitumia namba ya simu na kuniambia niwasiliane na huyo mtu, nimpokee na nimheshimu na ndiye mke wangu kuanzia siku hiyo.

Ile namba niliyopewa nilipoiandika na kuipiga, jina likatokea mzuri, ndiye yule msichana niliyemuomba namba muda mfupi uliopita, nilipogeuka kumwangalia, naye ndio alikuwa akiangalia simu yake maana ilikuwa ikiita, hakupokea bali aliniangalia na kutabasamu.

Kwa hatua za taratibu nilimfuata, hata simu sikuikata, nilipomfikia,
“Wewe ndiye…”
“Mkeo,” alinijibu hivyo akinikatisha mazungumzo
“Mama ndiye…”
“Nimemuacha kijijini, ndiye aliyenituma,”
“Kwahiyo ulikuwa unanijua?”


“Ndiyo, nilikujua tangu nilipokuona tu,”
“Mbona hukusema kitu,”
“Nilijua mama atawasiliana na wewe kisha atakupa namba yangu…”
Basi sikuwa na kipingamizi, yaani mwanamke niliyemtamani na kuchukua namba yake Kumbe ndiye mke niliyetumiwa na wazazi wangu! Nilimpokea begi lake dogo kisha nikachukua bajaji, safari mpaka nyumbani tulifika, nikamkaribisha vyema ambapo kile chumba nilichomwandaliwa mama ndio nilimwonyesha yeye, nikamuonyesha mpaka mazingira ya bafuni.

Kusema kweli niliyafanya hayo yote huku mwili wangu ukiwa unachemka sana. niliketi sebuleni ambapo Sali alinitumia ujumbe mfupi kuniuliza kama mama alikuwa amefika salama, nilimjibu kuwa amefika salama, sikumwambia mauzauza yaliyonitokea.

Ilibidi nimkaribishe chakula Kamami kwa kumtumia ujumbe mfupi kupitia simu yake ya mkononi, akanijibu kuwa kuna kitu anamalizia kisha atakuja sebuleni. Niliketi hapo sebuleni nikimsubiria kama nusu saa hivi.

Alipotoka nje, e bwana eh! Yaani mtoto alioga, alijiremba akapendeza hasa, kwa usiku ule nilimuona kama malaika. Kubwa zaidi ni nguo aliyoivaa, alivalia gauni lililomuishia kwenye mapaja ambapo ile nguo yake ya ndani ilionekana vizuri. Kwakweli nilimeza mate fundo kama tatu hivi kisha akili ikahamia kwenye chakula maana nilishapoteza muelekeo.
“Mke mwenzangu yuko wapi?” aliuliza Kamami
“Ametoka, tulipata taarifa kuwa mama ndiye anayekuja kwahiyo yeye hawaivi na mama,”
“Ooh, sawa. Kwahiyo leo niko na mume wangu tu siyo?”
“Ndiyo,” nilimjibu hivyo huku kila muda nikimwangalia jinsi alivyo mzuri
Sikuamini kama ni mke wangu, siku zote inajulikana kwamba ukichaguliwa mke asilimi zote huwa huridhiki naye lakini kwangu ilikuwa tofauti, alinikamata kweli.

Nilipotaka kunyanyuka alinizuia, alikatisha kula na kwenda kuchukua nilichokisahau mezani,
“Usiinuke mume wangu, mimi ni wa kazi gani sasa! Nitakwenda kuchukua, najua unapenda pilipili,”
“Umejuaje kama nampenda pilipili,”
“Mama ameniambia kila kitu, historia yako yote naijua... kuanzia mdogo mpaka hapo ulipo, kwahiyo najua unapenda nini, najua vitu ambavyo vinakuchukiza na zaidi najua udhaifu wako,”
“Udhaifu wangu?”
“Usijali, ngoja niende nikachukue pilipili.”

MWISHO





Blog