Search This Blog

Sunday, July 24, 2022

BARA NA PWANI

  


MTUNZI : GEOFREY MALWA



Moyo…akili…mwili…nafsi…ni lini vitanielewa ili mapenzi yasinitese tena? Nilishaupigia sana kelele kuukumbusha moyo majukumu yake kuwa ni kusukuma damu lakini haukutaka kunielewa, mwili nilishaukanya vikali kwa namna yeyote ile usithubutu kutoa miguu yake na kumfuata mtu aliyeamua kuanzisha maisha yake, akili pia lakini kila nilipovikataza vyenyewe ndio vilijitia kihelehele kwenda kinyume nami.
Katika maisha yangu nilimpenda mwanamke mmoja tu, aliitwa Alicia, nilikuwa tayari kufa kwa ajili yake. Alikuwa ni mwanamke mzuri sio masihara, nilimpenda kiasi kwamba sikutaka iwe siri kwa mtu yeyote, nilipenda kujionyesha naye maeneo yote, kwa wakati huo walikuwepo wengi walionishauri kuwa Alicia hanipendi kwa dhati bali anapenda pesa zangu tu, niliwafukuza kama sikuwa na akili nzuri, Alicia alinifanya nikosane na marafiki zangu wengi sana waliokuwa wakinitakia mema.
Ooh! Alicia wangu! Kwanini inakuwa ngumu sana kukusahau, tayari umeshaolewa, hiyo ni ishara tosha kabisa kuwa nikae mbali na maisha yako, Franko mimi ndio kwanza ni kama umeniambia nikaribie kwenye maisha yako.
Hukutaka nijue ulipo lakini kwa uchunguzi wangu nilijua, hiyo yote ni kihelehele cha moyo wangu, haukutaka kukubaliana na ukweli kuwa hunipendi.
Sikutaka kusajili mwanamke mwingine ndani ya moyo wangu kwa haraka, bado madonda ya kutendwa moyoni hayakupona. Ilipita miezi tisa bila kumuona Alicia japo nilishajua mahali anapoishi. Sikufuta nambari yake ya simu kwani ndoto ya kuwa naye bado iliishi kwangu.
Siku moja nilimfungia safari, alikuwa akiishi mkoa mwingine, nilifikia kwenye hoteli fulani iliyo na hadhi ya kipekee. Yalipofika majira ya jioni, kwavile nilichukua chumba cha ghorofani, nilishuka chini kupunga upepo, palikuwa na mandhari nzuri sana, kwa dakika chache tu nilishaanza kusahau kama kuna Alicia. Hiyo hoteli ilikuwa imeungana na klabu, wanawake walikuwa ni wa kumwaga tena sio wanawake tu, ni wanawake wazuri kwelikweli.
Nikiwa nimeketi hapo nakunywa juisi, nilmuita mhudumu ambaye naye alikuwa si haba, kwa muonekano ni kama mtu wa arusha hivi, nilipenda tu zile dimpo zake shavuni zinavyojitokeza hata alipochezesha tu mdomo wake,
“Sema mkaka mzuri,” alinichangamkia hivyo pindi aliponifikia
“Kaa kidogo tutete mdada mwenye dimpo zake,”
“Nimeshakaa hivyo, nakusikiliza,” alivuta kiti na kuketi
“Hivi hawa wakidada mnawafanyia usahili wa kuingia humu ndani?”
“Kwanini? Unaona pisikali tupu sio?”
“Ndiyo,”
“Hamna, hao wala bata tu, wengine wapo singo, wengine wana watu wao,”
“Mh!”
“Usigune, kama unahitaji Pisikali usiku wa leo niambie tu,”
“Hapana, mimi sina haya mambo, ila…”
“Ila nini?”
“Basi tu tuachane na hayo,” nilipomwambia hivyo alipita msichana fulani, alivalia gauni la mpira, kuanzia kimo mpaka rangi lilifanana na lile nililowahi kumnunulia Alicia enzi hizo mapenzi yakiwa motomoto baina yetu, ni kama kuna kitu kilipita akilini mwangu, nilibaki nikimtolea macho, lile umbo la watani lililojitenga, msamba uliokuwa ukimeza kitambaa cha gauni hilo kila wakati atembeapo, mawazo yalikwenda mbali sana,
“Kaka! Kaka! kaka mzuri jamani mbona unalia?” alinishtua
“Acha tu, yule dada amenikumbusha mbali sana,”
“Jamani pole…” dada huyo alitoa kitambaa na kunifuta machozi
Wakati nikiwa nataka nimshirikishe jambo dada huyo ambaye hata jina sikumjua, ujumbe mfupi uliingia katika simu yangu, “Hi” ujumbe uliandikwa hivyo, nilichanganyikiwa, ikanibidi niondoke haraka kuelekea chumbani kwangu, haukunichanganya ujumbe bali aliyeutuma huo ujumbe.
“Alicia! Alicia! Leo umenikumbuka! Au utakuwa umeniona leo?” niliwaza hivyo moyoni huku nikiutazama ule ujumbe, nilijilaza kitandani, akili yote ilifikiria huo ujumbe, zilipita dakika kumi na tano bila kujibu chochote, nilipokuwa nataka kumjibu, kwavile sikuufunga uwanja wa ujumbe, ukaingia ujumbe mwingine, “I real miss you!” nilipousoma tumbo lilivurugika na kujikuta nimechafua hali ya hewa tena kwa sauti ya ghafla, nikabaki nacheka tu mwenyewe ndani ya chumba, sikuamini kama ni yeye kweli ndiye aliyetuma jumbe hizo.
Siku hiyo ndio niliamini kuwa nilimpenda sana Alicia, jumbe zake zilinichanganya mno, mpaka kuandika jumbe za kumjibu vidole vilikuwa vikitetemeka, kabla sijakaa sawa akapiga simu kabisa, bila hiyana nilipokea,
“Kunguru!” aliniita hivyo
“Sema msamba,” niliitikia hivyo
“Za siku?”
“Nzuri sijui wewe,”
“Niko poa kabisa, nimekumisi pia,”
“Ungenimisi ungenitafuta,”
“Nilikuwa na mpango huo ila niko nje ya mji muda huu,” nilipomwambia hivyo, akaniuliza mahali nilipo, nilimtajia, akashtuka mwenyewe, akahamasika kujua nilipofikia pia, nilipomwelekeza alifurahi mno, nilijua kabisa hoteli niliyochukua haikuwa mbali sana na anapoishi,
“Ndoa tu inanibana, ila ningekuja hata sasahivi,”
“Kwani mume wako yuko wapi muda huu?”
“Huwa anachelewa sana kurudi, bado yupo kazini,”
“Ooh, si unakuja tu mara moja na kurudi, nimemisi kuona msamba wako,”
“Toka huko!”
“Kwani unakaa mbali sana? Ni kama muda gani kufika hapa?”
“Kwa pikipiki hapana hata dakika kumi, ila siwezi kutoka nitachelewa kurudi,”
“Kitu gani kitakuchelewesha kurudi? Hautachelewa,”
“Mh! Naogopa bwana…” alianza kukataa, kadri muda ulivyozidi kwenda akawa ananielewa,
“Sawa nakuja lakini sitokaa kabisa, nakusalimia tu,”
“Sawa, wala Usijali…”

BAADA YA NUSU SAA.

Mtoto wa kike tayari alishawasili, tulikumbatiana kisha nikamkaribisha akae, nilishuka chini pale nilipokuwa nimekaa mwanzoni na yule dada mwenye dimpo,
“Umependeza sana, bado ni mrembo kabisa,” nilimwambia hivyo
“Wapi! Nimeshachakaa,”
“Na Kwanini umevalia gauni ambayo naipenda sana?”
“Imetokea tu jamani,” alicheka kwanza kisha ndio akanijibu hivyo
“Labda!’
“Kwani haujalipenda?”
“Sijabadilika,”
“Haya bwana, kwahiyo ndio umefikia hapa?”
“Ndiyo, kuna kazi imenileta, imekuwa kama bahati Kumbe na wewe upo huku, itanichukua kama wiki hivi kisha nitarejea nyumbani,”
“Ooh, sawa, milima haikutani, yaani hata sikutarajia kukuona tena kunguru wewe!” alishazoea kuniita hivyo, tulizoeshana majina mengi sana ya ajabu, hakukuwa na mwanamke niliyemjua na kumzoea kama yeye, sikuwa na uhakika sana kama mimi nilikuwa hivyo kwake. Tulianza kutaniana, stori zilinoga na Hakuna aliyekumbushia lolote lililotokea baina yetu miezi tisa iliyopita.
“Naomba niondoke, kwavile upo, nitakuja kesho,”
“Jamani, kama ni maji hata hayajafika kooni,”
“Huwezi kuondoka mpaka nikupe zawadi,”
“Zawadi?”
“Ndiyo zawadi, au umeacha kupenda Zawadi?”
“Kesho bwana, nimeshachelewa ujue!”
“Twende bwana, wala hata haichukui muda, nakupa tu,”
“Twende wapi?”
“Huko juu, kuna mahali kama hapa chini…” sikumtajia moja kwa moja chumbani, basi alikubali, alipotangulia mbele yangu kwakweli ndipo niligundua nilikosa nini kwa muda mrefu, yale makalio yalivyokuwa yakitikisika ndani ya gauni, halafu yaliongezeka ukubwa pamoja na msamba. Mtinyama wangu ulisimama dede, sikuweza kujizuia hisia zangu kwa Alicia, alikuwa ndiye mwanamke pekee aliyeweza kuniamrisha vyovyote vile na nikafuata bila kuuliza maswali.
Yeye alijua tunakwenda sehemu itakayokuwa na watu wengi, lakini alishangaa nilipobadili uelekeo, nilimshika mkono na kumvutia chumbani, alishtuka na kuanza kunigomea,
“Franko Hapana! Unanipeleka wapi?” alisema hivyo huku mkono mwingine ukigota ukutani
“Ingia ndani kwani kuna nyoka huku jamani?” nilimwambia hivyo na nilipoona ananiwekewe vigingi vingi nilimtekenya mbavuni kisha nikambeba juu juu mpaka kitandani nikambwaga, nikarejea mlangoni, niliufunga mlango kisha funguo nikaichomoa kwenye kitasa.
“Unataka kufanya nini Franko?” aliniuliza hivyo huku akitoka kitandani na kusimama kando yake
“Vyote tu, wewe ndiye mwanamke niliyekupenda kuliko wanawake wote, sijawahi kukutana na mwanamke mwingine tangu uniache, leo nataka tukumbushie kidogo,”
“Haiwezekani, mimi nimeolewa lakini…”
“Usijifanye haujamisi kufukunyuliwa na mimi, umenimisi sana na najua!”
Nikamsogelea mpaka kwa karibu, kifua chake bado hakikuchakaa, kilikuwa kama cha mtoto, akawa anasogea kunikwepa lakini alipofika kwenye kona nikazidi kumbana, mikono yake niliibania kwa juu kwa kutumia mkono wangu mmoja, mkono mwingine ukawa unatalii kiunoni mwake, kupanda mpaka kifuani, nilijua udhaifu wake ulipo kwahiyo sikupata tabu,
“Sikia Franko, yaani ningejua kama utanifanyia hivi hata nisingekuja, usiende huko kwenye masikio nina usaha…Fraaan…aak..” alishindwa kumalizia maneno kwani alijua kwenye masikio ndio ugonjwa wake mkubwa, kwahiyo alipojua ulimi wangu unaelekea huko alianza kunitisha ili nighairi.
Nilianza kuiamini misemo ya wahenga iliyosemwa kuwa, “Mbwa ukimjua jina wala hakupi shida” na “Hawala hana talaka, ukimtaka unampata” hiyo misemo yote ilianza kuonekana inatimia ndani ya chumba hicho cha hoteli,
“Franko sitaki bwana…” aliongea hivyo Alicia kwa sauti ya chini sana, tayari nilishaanza kumchokonoa na ulimi sikioni mwake, halafu sikio lake la kushoto ndilo lilikuwa likimsisimua zaidi. Ogopa sana mwanamke unamchezea masikio mpaka anaishiwa pumzi, viungo vinalegea, ongea yake inabadilika, macho yanalegea utadhani kungu za kikongo zimehusishwa, hapo lazima umfanye utakavyo.
Kuanzia hapo sikuwa nahitaji kutumia nguvu tena, nilipomwachia, yeye mwenyewe aliongoza njia ya kwenda kitandani,
“Nitamwambia nini mume wangu?” aliongea hivyo kichovu sana..

MWISHO












Blog