Search This Blog

Sunday, July 24, 2022

KATERERO

  

MTUNZI : GEOFREY MALWA



Dunia chungu, dunia tamu, vyote hivyo hutoa ladha ya maisha. Majuto na Baraka vikijumuishwa ndani yake, maisha hupendeza zaidi. Upo wa wakati wa kufanya kitu sahihi na wakati wa kukosea, lakini yote hayo bado nasisitiza kuwa huyapamba maisha.

“Hivi ni kweli naenda kuolewa na huyu baba? Mungu wangu! Hivi Hansi atanielewa kweli?” mawazo hayo alikuwa nayo Halima, binti mdogo mrembo aliyefichwa na shida, ungeweza kuiita almasi mchangani.

“Mwanangu! Najua humpendi huyu mwanaume lakini unafikiri hata mimi nilimpenda baba yako?”
“Lakini ni mkubwa sana mama, analingana na baba mdogo kabisa,”
“Najua, ila angalia tunavyopata shida hapa nyumbani, wewe ndio mkombozi wetu,”
“Lakini Hansi pia alisema atasaidia hivyo tunaweza kuokoa hali ya hapa nyumbani,”
“Kumbe bado hujawajua wanaume, Hansi atakuchezea tu, jinsi ulivyo mzuri mwanangu, ukiolewa inatakiwa ubadilishe nyumbani, maisha yetu yawe vizuri na yako pia, amka mwanangu kipenzi,”
“Lakini mama,”
“Hamna cha lakini, nakuomba usikatae, fikiria kwa makini, mwanamke kwenye maisha yake huwa anatafuta vitu viwili vikubwa, mtu mwenye mapenzi ya kweli na pesa,”
“Vipi nikiwa sijampenda?”
“Mimi pia sikumpenda baba yako, lakini kadri nilivyoishi naye nilijikuta nampenda mno, sisi wanawake hatupo kama wanaume, upendo wetu kwa wanaume unategemea na jinsi wanavyotujali, kutupenda na kutuheshimu,”
“Sawa nitafikiria,”
“Ahsante mwanangu, uwe na usiku mwema.”
Mama alipotoka chumbani kwangu tu, Hansi aligonga dirisha kama kawaida yake, nikanyata na kutoka nje kuonana naye, tulizoea kufanya hivyo, nilimkumbatia kisha tukawa tunaongea huku tukiwa tumekumbatiana,
“Nimeota kama utaniacha mpenzi wangu,”
“Hapana, haiwezi kutokea,”
“Nasikia kuna mtu anataka akuoe na barua imeshatolewa kwenu, ni kweli?”
“Ndiyo,”
“Kwahiyo?”
“Mimi nipo na wewe mpenzi wangu, nimekataa,”
“Ahsante, nakupenda sana Halima,”
“Nakupenda pia Hansi, nikuulize swali?”
“Niulize,”
“Ikitokea ukaambiwa ubadilishe dini kwa ajili yangu utakubali?”
“Sio dini tu, hata damu nikiambiwa nitabadilisha, wewe mwanamke ni maisha yangu,
..


sina kitu lakini nakuahidi kugawana na wewe kila senti ninayoipata,”
“Ahsante sana…”
Halima alimbusu Hansi na kuanza kudokoana ulimi kwa ulimi.
“Hapana bwana leo hapana Hansi!” alisema Halima baada ya kuona mkono wa Hansi ukiingia kwenye tisheti aliyovaa ukipandisha kwenye kiuno mpaka mgongoni,
“Kwani nini jamani mpenzi?” Hansi alijafanya hajui kitu
“Umeshadindisha, na nakujua hucheleweshi,”
“Kidogo tu jamani,”
“Kesho nitakuja,”
“Kweli?”
“Ndiyo, nitakuja kweli,”
“Saa ngapi?”
“Saa tisa nitakuwa nimeshamaliza kazi za nyumbani,”
“Sawa, nitakusubiri, si unajua kijiji hiki hakina dogo,”
“Najua, ila nikukute, siyo kama siku ile unaniweka mpaka hamu inaisha,”
“Usijali mpenzi utanikuta, au nisiende kwenye vibarua vya kulima nini?”
“Nenda ukatafute hela, usipoenda namimi siji,”
“Sawa, kesho basi usichelewe, nina hamu na wewe mno,”
“Sawa, kwaheri.”
Basi waliagana huku midomo yao ikishindwa kuachana kwa muda kidogo.

Kesho yake ilipofika majira ya saa nane na nusu, kweli Halima alijiandaa vizuri, alikuwa na miaka kumi na saba tu, mpenzi wake Hansi alikuwa na miaka ishirini na moja. Wote waliishia elimu ya darasa la saba, kwa maisha ya kijijini Hansi alifanikiwa kumnasa Halima na kumfanya vile alivyotaka, alimpenda sana Halima kupita maelezo.

Akiwa anavuka mto, alibakiza kama umbali wa meta mia tano kufika kwa Hansi aliyelipamba geto lake lililojengwa kwa udongo, alikutana na Kandeje, hakumfahamu, alimpa heshima zote katika salamu,
“Marhaba Azuri, hujambo?”
“Jina langu umelijuaje?” alihoji Halima akiwa na mshangao
“Nakufahamu tangu ukiwa mdogo, nilikuwa nakutania mchumba wangu, kumbe bado mzuri vilevile,”
“Samahani baba niambie umelijuaje jina hilo?”
“Nitakwambia, usiwe na haraka, najua unapokwenda, kwa Yule nani…ooh nimemkumbuka, Hansi siyo?”
Halima alishangaa Kandeje kuyajua yote hayo. Kandeje alikuwa na mtu mzima, umri wa miaka thelathini na saba hivi,
“Usishangae sana, mimi na wewe tutafahamiana hivi karibuni, nataka nikwambie maneno mawili tu, la kwanza, hiyo unayokwenda kupigwa ni shoo ya mwisho hivyo muage Hansi vizuri, na la pili, nitakufundisha Mtindo utakaokupa raha duniani ujione mwanamke wa thamani, huo Mtindo unaitwa KATERERO. Huyo Hansi hawezi
..
..



kuwa na obo kama hili nadanganya?”
“Jamani we baba jiheshimu!” Halima alijikuta akiongea hivyo baada ya kushuhudia obo la Kendeje likiwa limeanza kuvimba, lilijitokeza kabisa, alishtuka maana lilikuwa kubwa, akakazana kupiga hatua akiendelea na safari yake.

Alipofika geto kwa Hansi, kidogo akili yake haikuwa sawa, alijua fika Hansi hawezi kumwambia mtu yeyote juu ya mahusiano yao na mambo wayapangayo,
“Hujamwambia mtu yeyote kuhusu mimi kuja hapa?”
“Naanzaje kusema hivyo, kuna tatizo?”
“Hapana, nimeuliza ili nijue.”
Basi wakachangamkiana pale Hansi akamvua nguo zote na kumpachika obo lake pachupachupachu mwisho mwaa akakojolea nje kama walivyokuwa wamekubaliana wakati wakianzisha mahusiano ili kuzuia kupata ujauzito.

Baada ya kutimia mzunguko wa kwanza, Halima alianza kuuliza maswali ya kichokozi,
“Hivi Hansi unajua kuhusu katerero?”
“Ndiyo,”
“Ndiyo ipoje hiyo eti?”
“Ipoje? Hilo ni jina la wilaya, unauliza ipoje?”
“Ooh, Kwahiyo haihusiana na mapenzi?”
“Mh! hapana,”
“Sawa,”
“Hivi unamjua mumeo mtarajiwa kweli?”
“Hapana, nimeambiwa tu anaitwa Kandeje,”
“Nilikutana naye leo akiwa ananunua mashamba kule upande wa mtoni, ni pande la mtu,”
“Halafu usimuite mume wangu mtarajiwa, sitaki tutagombana!”
“Haya, Kandeje…”
“Alikuwa amevaaje?”
“Suruali ya jinzi, juu tisheti nyeupe nje koti la suti, chini amevaa sendo,”
“Mh! basi nitakuwa nimepishana naye pale mtoni,”
“Hajakusemesha chochote?” jinsi Hansi alivyouliza, Halima aliona kabisa akimwambia ukweli wa alichokisema ataumia sana.
“Hajanisemesha, alikuwa akiniangalia tu, nilimsalimia hakuitikia,”
“Anhaa! Ndiyo huyo sasa,”
“Mh! lakini ana sura fulani hivi nzuri japo mtu mzima…”
“Unasemaje?” Hansi alijikuta mkono wake ukiwa umeshatua kwenye shavu la Halima, kilikuwa ni kibao kisichokuwa na aina yeyote ya chembe za mapenzi, naam ni kitasa haswa, akaanza kuomba msamaha, Hansi alimbembeleza Halima lakini wapi, mtoto wa kike alitokwa na machozi kabisa, kibao kilifika mahali pake. Hansi alikuwa na wivu uliopitiliza, Halima alikuwa akimletea utani bila ya kujua kuwa Hansi hakutafsiri hivyo.

Halima alitoka mbio akiwa na alama za vidole kwenye shavu, na vile alivyo na rangi ya mtume basi vilijichora vizuri hasa,
..


njia ya kwenda na kurudia ni hiyo hiyo moja, Halima akiwa mwenyewe alitoka mbio kwa Hansi ila alipofika mbele kidogo alipunguza mwendo, pale pale mtoni alikutana na Kandeje.
“Huyu mpuuzi ndio amekupiga hivi?” Kandeje alimfuata Halima na kumuuliza hivyo
“Niache…”
“Pole Azuri wangu, mwanaume hatakiwi kupiga mwanamke, pole mama, hii utaenda pale zahanati ukajitibu,”
“Sitaki…”
“Nimekuwekea mfukoni, kama huitaki basi kampe mtu yeyote utakayekutana naye, sio kwa ubaya…umeumia shavuni.”
Halima aliondoka kwa hasira huku akikazana kukimbia, Kandeje alikuwa akiangalia tu jinsi Halima alivyokuwa akitikisa wowowo lake ambalo halikuwa kubwa sana.
Kandeje kabla ya kuondoka hilo eneo, alimshuhudia Hansi akikimbia huku akihema kweli,
“Hansi!” Kandeje alimuita, Hansi akasimama
“Unamfuatilia mke wangu mtarajiwa?”
“Mkeo? Mtu mzima kama wewe unaweza kumuoa mtoto kama Yule?”
“Wewe wasema, hivi unajua unafanya dhambi kubwa sana, unamtumia mtoto wa watu hata mia mbovu humpi, mtoto wa watu kachakaa kama dodoki la mlalahoi,”
“Sasa ukitaka kunijua mimi ni nani, fanya huo upuuzi wako,”
“Huu mchezo hauhitaji hasira, haujui hata katerero Halafu unajitapa unaweza kummiliki msichana, huna hela, huna swaga, sio maarufu, hujui mapenzi, ulimpataje yule mtoto, uchawi wako ndio unaisha nguvu hii wiki,”
“Tutaona,”
“Kwanza hata jina analolipenda mpenzi wako unalijua? Yule anaitwa Azuri, kamuulize…”
Hansi aliona kama anapotezewa muda na Kandeje, haraka aliendelea na safari yake, kwa bahati iliyo nzuri akamkuta Halima,
“Mpenzi naomba unisamehe sana,” alisema Hansi machozi yakimlenga
“Hansi niache, ahsante sana,”
“Usiseme hivyo mpenzi wangu, tuyaongee haya yanazungumzika,”
“Nakusikiliza,”
“Twende hata pale kwenye kivuli kuepusha macho ya watu,”
Halima alikubali na kwenda na Hansi mpaka kwenye kichaka fulani kilichokuwa na kivuli, palijificha kidogo,
“Haya sema,”
“Naomba unisamehe sana, unajua nina hisia kali sana juu yako na nakutaka uwe wa kwangu tu, ulivyosema vile nilienda mbali kimawazo na kuona picha yenu pamoja ikanifanya nifanye kile nilichokifanya, haitojirudia tena, nakupenda sana Halima wangu,”
“Sawa nimekuelewa, punguza wivu utakuja kuniua,”
“Nikuue ili nife?”
..



“Toka huko,”
“Hebu tuone, umeumia sana?”
“Hapana…sio sana,”
“Pole sana mpenzi.”
Kikapita kimya kama cha sekunde kadhaa hivi kisha Hansi akaanza kuunganisha Matukio, kwa uzuri tu ili aelewe akamwuuliza Halima,
“Azuri ni jina lako lingine?”
“Ndiyo, umelijuaje?”
“Hujawahi kuniambia,”
“Nimezoeleka kwa jina la Halima,”
“Unalipenda jina la Halima kuliko Azuri?”
“Kinyume chake, nalipenda sana Azuri,”
“Sawa, na neno katerero ulilitoa wapi?”
“Lilikuja tu kichwani kwani vipi?”
“Hamna nimeuliza tu,”
“Una mashaka na mimi?”
“Hapana ila Kendeje amelitamka hilo neno nikahisi umelitoa kwake,”
“Kwani ulikutana naye?”
“Ndiyo,”
“Akasemaje?”
“Eti siwezi kukufanyia katerero,”
“Kwani katerero ni nini?”
“Tuachane na hizo habari.”
Baada ya Maongezi hayo, Hansi alipopiga jicho kwenye mfuko wa sketi aliona noti zikiwa zimejitokeza.
“Hii hela umepata wapi?” Hansi alihoji kwa jazba
“Hela gani?”
“Hii hapa,” Hansi aliingiza mkono mfukoni mwa Halima na kuitoa hiyo hela
Hela hiyo ndio ile aliyopewa na Kandeje kwa ajili ya matibabu. Hansi alifoka na kumkunja Halima mpaka akasema ukweli kuwa alipewa na Kandeje. Kichwa cha Hansi kilipata moto, machozi yakaanza kumtoka, alijiuliza maswali mengi huku majibu yake ya kuhisi yakiwa kama mwiba moyoni mwake.

Halima alishaujua udhaifu wa Hansi hivyo alimtuliza na kumwambia hakutaka kuipokea hiyo hela na kama haamini hiyo hela aichukue tu hana shida nayo. Sauti ya Halima kwa Hansi ilikuwa kama maji ya moto kwa mkate. Hansi alimuelewa Halima ambapo walibusiana na kila mmoja akaelekea njia yake.

Halima alipofika nyumbani alimkuta Kandeje akiwa anaongea na baba yake mzazi tena walikuwa wakifurahi mno.
“Mwanangu huyo ndio mume wako mtarajiwa,”
“Lakini mama…”
“Usiongee chochote, jibu kwa busara,”
“Mkubwa,”
“Kwenye mapenzi hakuna ukubwa, jitulize, akiingia hapa ndani umsalimie kwa heshima.”
Basi hata hazikupita dakika nyingi Kandeje na baba Halima waliingia hapo ndani, Halima alimsalimia Kandeje kwa heshima kisha akaenda chumbani, kwa macho ya wizi alikuwa akichungulia hapo sebuleni. Alishuhudia burungutu la hela

Halima atakapomkubali Kandeje ndio shughuli itakolea sasa, mambo ya Katerero hayo

MWISHO





Blog