MTUNZI : GEOFREY MALWA
"Tukutane hoteli ya Seven Silva, saa moja na nusu, kila kitu juu yangu, usikose, naomba uwahi nakupenda sana."
Ujumbe huo alitumiwa Fakri, alifurahi na kurukaruka huku akiujibu kwa hisia ya furaha mno. Hakuwa peke yake, hata Gastoni alitumiwa pia, naye kwa upande wake alifurahi sana, mapema akaanza kuandaa mavazi.
Fakri na Gastoni hawakujuana, aliyewatumia ujumbe aliitwa Leki. Yeye ndiye aliyewajua wote hao wawili. Leki alikuwa ni mwanamke mrembo asiyefanana na tabia zake. Alikuwa na pesa za kutosha, aliweza kufanya lolote alitakalo.
Majira ya saa moja kamili Fakri ndiye alikuwa wa kwanza kufika. Hoteli kubwa yenye hadhi ya nyota tano, utulivu na aina ya watu waliokuwa hapo vilisadiki kuwa masikini hakutakiwa hapo.
Fakri alipokelewa vyema na mrembo ambapo alipelekwa mpaka kwenye meza aliyotakiwa kukaa.
"Karibu sana, furahia huduma zetu,"
"Ahsante."
Mhudumu huyo mrembo mwenye sauti nyororo alipomkarimu aliondoka.
Fakri alipoangalia vizuri hiyo meza aliona viti vitatu, palikuwa na jina lake hapo mezani ule upande aliokaa. Akaona pia jina la Gastoni upande wa kiti cha pili, na cha tatu kiliandikwa jina ambalo alilifahamu, jina la aliyemfuata hapo, Leki.
Ilipofika na robo, Gastoni aliwasili. Naye alipokelewa vyema na kuletwa alipo Fakri, akaketi ule upande uliokuwa na jina lake. Wakasalimiana vizuri na Fakri kisha kila mmoja akabaki na maswali mengi kichwani.
Kimya kilitawala kwa upande wao ambapo muda huo Leki alikuwa kitambo ameshawasili Hitelini hapo,
"Ila shoga yangu watakuelewa?"
"Hanawa kazi, hapa mjini wanatangatanga tu, wataanzaje kukataa?"
"Ila ni wazuri, mimi nimemtamani tu yule mweusi,"
"Mmh...yatakushinda!"
"Yule mweupe ni anaitwa nani?"
"Fakri, mweusi ni Gastoni..."
"Sawa wame zako ndio hao wamefika wanakusubiri,"
"Acha tu!"
Huyo alikuwa ni Leki akijadiliana na rafiki yake aliyeitwa Paula. Siku hiyo Leki alikuwa amevalia gauni fulani lililombana na kumchora umbo lake, lilikuwa fupi na mpasuo mrefu uliopelekea mpaka nguo yake ya ndani kuonekana.
Hilo gauni kwanza lilikuwa jepesi, mgongo wake wote ulikuwa wazi na kuonyesha lile pindo la nguo ya ndani, kila alipopiga hatua,
..
..
lile gauni lilikuwa likipanda juu na kuacha sehemu kubwa ya mapaja yake kuwa wazi. Leki alivutia mno usiku huo.
Kwa mwendo wa madaha alitembea mpaka mezani hapo na kuwabusu wote wawili kwa zamu kisha akaketi. Wakaagiza chakula wakala kisha Leki akaanza kufunguka,
"Najua mtakuwa na maswali mengi sana, ila nimewaita wote kwa ajili ya jambo moja,"
Wote walikohoa kidogo kuweka koo sawa na kuendelea kusikiliza,
"Kwanza nataka muelewe kuwa nawapenda sana, nimeshindwa kuchagua mmoja wenu, mnansaidiaje?"
"Unamaanisha ulikuwa unatumiliki sisi wote?" Fakri alihoji
"Hapana, ila kuanzia sasa mkkubali ndio nitawamiliki na kuwaonyesha kwamba mwanamke akipenda huwa inakuwaje,"
"Dah! Mimi naona uchague mmoja tu," Gastoni alichangia
"Siwezi, nimewapenda wote, kwani hamuwezi kuwa wanaume wangu ninyi wote wawili?”
Fakri na Gastoni walicheka sana kisha wakatulia baada ya kuona Leki alimaanisha alichokiongea.
"Nawapenda wote wawili, kuna baadhi ya wanawake huwa wanasaliti ila mimi sitaki kufanya hivyo, nataka niwamiliki wote..."
"Mh!" waliguna Fakri na Gastoni
"Hakuna aliyewahi kunila, wote mlikuwa mnanisumbua sana na kuniahidi mambo mengi, hapo mlipo najua mlikuwa na wanawake zenu ila itawabidi muwaache kwa ajili yangu,"
"Kwanini unataka tuwe wawili?" Fakri aliuliza
"Kwasababu kila mmoja ananivutia, na msijali, kila mmoja atakuwa na nyumba yake, gari lake, pia na biashara ili aweze kuendesha maisha ya nyumbani siku hata ikitokea ameniacha maana mimi siwezi kuwaacha ninyi..."
"Wawili kabisa, hiyo ngumu kwakweli..."
"Sasa naomba mfikirie kisha mnipe jibu..."
Leki baada ya kuwaambia hivyo alivua nguo yake ya ndani kisha akachana vipande viwili, akaviweka hapo juu ya meza,
"Leo nipo hapa hotelini chumba namba 102. Nilipenda sana tuwe wote, namba yangu mnayo, mtanitafuta kwa atakayependa kulala na mimi leo."
Leki alinyanyuka baada ya kusema hivyo kisha akaondoka zake huku makalio yakiwa yanatikisika tu, hayakubanwa na nguo ya ndani. Fakri na Gastoni walibaki wakilitolea macho umbo la Leki mpaka midudu yao ilidinda.
"Sikia kaka, najua hatujuani lakini naomba nikuombe kitu kama mwanaume mwenzangu," alisema Fakri
"Unataka kusemaje?"
"Nampenda sana Leki, ikiwezekana nibariki tu niachie,"
"Unahisi mimi ni mtoto mdogo kama wewe?"
"Mbona dharau sasa..."
"Najua kabisa haupo kwa ajili ya upendo, upo kwa ajili ya pesa, unazunguka tu, mimi mwenyewe nimefuata pesa, badala ulete mpango wa maana, unajaribu kunidanganya mpaka mimi,"
"Daah, sasa tunafanyaje kaka?"
"Nenda nyumbani, niachie, wewe humuwezi,"
"Sasa mbona unarudi kulekule,"
"Ukweli ndio huo,"
"Lakini kaka mimi nina wazo..."
"Wazo gani?
" Tukubali kuwa naye pamoja kisha tule pesa,"
"Mh! Hilo neno, kwahiyo inakuwaje?"
"Ushawahi kupiga mtungo?"
"Hapana,"
"Tunamfumua sisi wote wawili kwa wakati mmoja."
Basi Fakri na Gastoni walikubaliana hivyo ambapo walipiga stori hiku kila mmoja akiwa na uchu wa kupata pesa kutoka kwa Leki.
Kila mmoja alichukua kipande cha nguo ya ndani ya Leki walichogawiwa baada ya kuchanwa vipande viwili. Wakaviweka mfukoni na kukubaliana jambo.
"Hawagombani kabisa,"
"Kweli?"
"Ndiyo,"
"Kwahiyo watakuwa wamekubali?"
"Inawezekana, wananyanyuka, nahisi wanakuja huko,"
"Wapi?"
"Huko chumbani, kazi unayo, halafu wanacheka,"
"Kha! Wawili?"
"Si ulitaka wame wawili wewe?"
"Lakini sio kwa pamoja..."
"Ngo..ngo..ngo!" hodi ilibishwa ambapo ilikatisha kutumiana jumbe kati ya Leki na rafiki yake aliyekuwa akiwafuatilia kina Fakri na Gastoni.
Kabla hata hajajibu Leki, Fakri alifungua mlango, Gastoni akafuata nyuma yake kuingia humo ndani kisha akafunga mlango.
"Nimefurahi kuwaona..." alisema Leki akiwa ndani ya shuka
"Unatukaribisha vipi wbila kusimama?" alisema Fakri
"Aah! Nimechoka tatizo?
"Umechoka? Unatutania wewe,"
"Natania nini?"
Gastoni alifika hapo kitandani kisha akavuta shuka kwa nguvu bila Leki kutarajia.
"Whao! Gauni la kulalia?" Gastoni alishangaa huku akimsogelea zaidi
Leki akiwa anahisi aibu, alikamatwa kichwa kisha akavutwa na kuanza kunyonywa lipsi zake kama sekunde ishirini kisha akaachiwa kwa kusukumwa,
"Jamani, kwani ugomvi?" alisema Leki, hakuelewa ni namna gani Gastoni anatibu kitandani
"Mapenzi sio ubavu, ngoja nikuonyeshe..." Alisema Fakri na kumsogelea Leki taratibu...alikuwa amebakiwa na boksa pekee.
"Unapendeza sana ukiwa umevaa gauni, lipsi zako, natamani kuzilamba nijue ladha yake,
MWISHO