Search This Blog

Sunday, July 24, 2022

DUDU KOJOLEA

 



MTUNZI : GEOFREY MALWA




Naitwa Maria, ni mwanamke mzuri na najikubali, ndio! Najikubali mwenyewe. Hakuna mwanaume niliyewahi kukutana naye akaniacha bila kunisifia hata kama ni kwa Dakika moja. Sifa nyingi kutoka mpaka kwa wanawake wenzangu zilinivimbishwa kichwa lakini hazikunisahaulisha utu wa mtu. Kwenye hilo nilikuwa tofauti na wanawake wengi waliolewa sifa, nilipenda kutengeneza urafiki na kila mtu, awe masikini au tajiri, heshima niliizingatia, labda pengine ndio sababu iliyonifanya nielewane na kila mtu aliyenizunguka.


Maria mimi nilipenda sana maisha mazuri, nadhani hiyo ni ndoto ya kila mwanadamu, nilimaliza chuo kikuu na sikupata kazi ya kufanya, sio kwamba niliweka juhudi zangu kwenye kutafuta kazi, Hapana! Nililemazwa na kaka yangu Jastini aliyekuwa akifanya kazi katika shirika la reli, yeye alikuwa na maisha mazuri kwahiyo aliniwezesha kwa kila kitu nilichohitaji. Alinidekeza kupita kiasi mpaka nikawa sielewani na wifi yangu Nadia.


Baada ya mwaka nikiwa namtegemea kaka, akatokea mwanaume, alikuwa akinipenda kuliko maelezo, ili niache kumtegemea kaka na nimfurahishe wifi yangu nadia, nikaolewa na huyo mwanaume aliyekuwa anaitwa Jonathani. Nilikuwa na umri wa miaka ishirini na tano, yeye kwa muda huo alikuwa na miaka thelathini na tatu, alizinizidi miaka nane.


Msema ukweli siku zote ni mpenzi wa Mungu, na leo hii niko tayari kuwasimulia visa vyangu vilivyojaa msisimko na furaha. Sio kwamba nilijivunia visa hivyo ila hali halisi ilijieleza.


Ni mwaka mzima ulipita nikiwa mwaminifu kwa mume wangu, kwakweli wanaume walikuwa na tamaa lakini sio Jonathani, alitulia kwenye ndoa na kuchukua nafasi ya baba wa familia kweli. Tatizo lilikuwa kwangu kivuruge niliyekuwa nasifiwa kila kona. Jonathani alikuwa ni mfanyabishara nguo, ili kufanikisha hilo alifungua duka kubwa na dogo, hilo dogo ndio niliwekwa mimi kivuruge Maria. Maisha yalikuwa mazuri sana, mume wangu alikuwa akisimama kama mume haswa.


Nakiri kuwa nilishawahi kumsaliti mume wangu na watu watatu tofauti, kwasasa nimetulia naye, hakuwahi kujua kama nilishawahi kumsaliti na sidhani kama atakuja kujua, hakukuwa na cha ziada nilichokipata zaidi ya kuhangaika tu.

.



nilitambua hivyo baada ya kufumuliwa na watu wote hao watatu, kila mmoja alikuwa na manjonjo yake lakini mwisho wa yote mume wangu Alisimama kama mwanaume wangu wa mwisho na wa wakati wote.


MCHEPUKO WA KWANZA:


Nurdini ndio lilikuwa jina lake, alikuwa ni kijana mwembamba mrefu mwenye mvuto wa sura. Alijua kuvaa kuendana na mwili wake, hakuwa muhuni, alikuwa mstaharabu aliyetambulika kupitia maongezi yake tu. alikuwa akiongea taratibu na kutamka maneno yake kwa ufasaha sana.


Ilikuwa hivi, alikuja dukani kumnunulia mkewe nguo, hakuja na mkewe lakini. Lile jicho la kwanza kumwona alinishtua, hasa aliponisalimia kwa kunipa mkono nilijikuta nikitabasamu tu. Yeye alijua ni ukarimu wa biashara lakini kumbe tayari alishanivutia.

“Karibu sana, hapa kuna kila kitu unachokihitaji,” nilimkarimu

“Ahsante, duka limependeza!” alisema hivyo

“Muuzaji mwenyewe nimependeza, duka litaachaje sasa!” aliniangalia kisha akatabasamu nilipomwambia hivyo, lile tabasamu liliniua kwakweli, kuna wanaume wana mvuto kweli jamani.


Basi nikaanza kumpitisha dukani kwangu aangalie nguo nzuri, nikampendekezea magauni huku nikimuuliza mkewe yukoje, nilimchagulia nguo nyingi kisha yeye akachagua za rangi aitakayo, siku hiyo nilikuwa nimevaa dera Fulani lililonikaa vyema, lilinichora umbo langu vyema, na mwanamke nilibarikiwa, hakukuwa na mwanaume aliyeweza kupingana na mwonekano wangu. Nilijitanguliza mbele yake makusudi, hata sijui ni kitu gani kilinifanya nifanye hivyo, niliamini alikuwa akinitazama tu eneo la chura.

“Naamini hizi atazipenda sana,” aliniambia hivyo

“Sawa, pia umesahau kitu,”

“Kitu gani tena?” aliponiuliza hivyo nikamtolea nguo za ndani za kike, tena zile za kizungu zenye mikanda myembamba tu.

“Hizi vipi?” nilimuuliza huku nikimchekea kama namwonea aibu

“Ni kweli, natumaini utanifanyia bei poa sio?”

“Wala hakuna shaka.” Basi nikamfungia mzigo vizuri akauingiza ndani ya begi lake la mgongoni.

“Ila naomba nikwambie kitu,” nilijua tu alitaka kunisifia

“Sema tu mkaka hendsam,” akacheka nilipomwambia hivyo

“Wewe ni mwanamke mzuri sana, umemzidi hata mke wangu,” aliponiambia hivyo bichwa langu likavimba kweli. Wateja wakaja dukani hapo,

.



mimi na yeye kukawa na ukimya kidogo. Walikuja wanawake sijui walikuwa wazaramo, walikuwa wakiongea kweli kweli ikanibidi niende nikawahudumie, roho iliniuma kumwacha huyo mkaka ambaye hata jina sikumjua.


Wanawake wenyewe walikuwa wanunuaji basi! Wakanizungusha kama Dakika kumi na tano halafu wakaondoka, ile kurudi kumwangalia yule mkaka, sikumkuta na wala sikujua ningempataje, niliporejea mezani kwangu nilishtushwa na kukuta namba ya simu juu ya meza iliyoandikwa kwenye kikaratasi kilichopachikwa ndani ya kioo. Kihemuhemu cha kuipiga kikawa juu, ilikuwa ni namba ya mtandao wa Vodacom. Wala sikutaka kusubiri, nikampigia, ni kweli alikuwa ni yeye, nilipoongea tu akanijua, basi tukaanza kupiga stori,

“Kuna kitu umekisahau hapa,” nilimchemsha akili

“Kitu gani jamani,”

“Otea,”

“Siwezi, niambie tu tafadhari,”

“Utakifuata mwenyewe,”

“Sawa, jioni utakuwa na nafasi?”

“Kuna nini?”

“Kuna tafrija ndogo ya jamaa yangu, nimeona ni vyema kama utakuwa na nafasi twende,”

“Mmh! Nitaangalia kisha nitakujibu..” basi tuliendelea kupiga stori zingine kama nusu saa hivi, hata mume wangu mwenyewe sikuwahi kuongea naye kwa muda mrefu hivyo. Akaniambia jina lake kuwa ni Deogratius, alinitaka nimuite D kama kifupi cha jina lake.


Sikuwa na kipingamizi, nilifunga duka saa kumi na mbili, Deo aliponipigia simu kuniuliza kama nitaenda naye nilikubali, niliporejea nyumbani na kujiandaa Deo alikuja kunichukua na gari yake, alipendeza na ule urefu wake, hakuwa na kitambi kama mume wangu, ule uongeaji wake, na jinsi alivyokuwa akinisifia jinsi nilivyobarikiwa umbo lenye mvuto, nilivalia gauni Fulani lililonishika haswa! Kila aliponiangalia alibaki akitabasamu tu,

“Hivi Maria mimi kivuruge! Mtu ndio kwanza nimejuana naye mchana, tena aliniambia kabisa ana mke, na muda huu niko ndani ya gari nakwenda naye nisipopajua, hii ni akili au matope?” nilijiwazia hivyo huku nikiupiga moyo konde, sikujua hata kihelehele changu kingenipeleka wapi!


Moja kwa moja tulifika kwa huyo rafiki yake, roho ikatulia ilipokuta wanawake wengine huko wakiwa na wapeni wao. Ilikuwa ni tafrija iliyofanyikia kwenye ‘Swimming pool’ na mavazi yake hayakuwa kama hayo niliyovaa mimi,

.




nilitakiwa kujiachia kidogo…


“Usiogope, unapenda kuogelea?” aliniuliza huku akiwa amenikaribia kabisa. Nikatikisa kichwa kuashiria napenda, basi akaenda kunichukulia ‘Waini’ kwenye glasi ambapo aliporejea tayari alikuwa ndani ya bukta. Watu walikuwa wakitushangilia kweli, Yaani kila mtu alikuwa ana furaha kweli,

“Sasa sijajiandaa kuogelea,” nilideka kidogo

“Kuogelea hakuna kujiandaa bwana, una wasiwasi utavaa nini? Aliniuliza hivyo

“Ndiyo,”

“Hilo Usijali.” Aliponiambia hivyo akanishika mkono na kunipeleka kwenye chumba Fulani kilichokuwa na nguo nyingi za kuogelea, kabla ya kunipa uhuru alinichagulia ambapo nilizikataa, aliponiacha mwenyewe nilijikuta nikivaa zile alizonichagulia ambapo ilikuwa huku juu imeziba kifua vizuri, chini ilikaa kama kufuri za kizungu zile zenye mikanda tu, halafu palikuwa na mtandio niliotakiwa kujifunga, mtoto nikijiangalia umbo langu jinsi lilivyo, kwakweli nilijiweka nafasi ya mwanaume na kuanza kujitamani.


Nilipotoka tu watu walipiga kelele kunishangilia, nikajirusha ndani ya maji, moja kwa moja nikaenda mpaka kwa Deo aliyekuwa akinisubiri kwenye kona.

“Wewe ni mwanamke mzuri sana,”

“Mmh! Ahsante,”

“Sogea bwana au unaona aibu..”

“Aibu nimwonee nani, na nisogee nifanye nini?” nilimchemsha akili kidogo, akanisogelea yeye mpaka karibu, sura yake ilionyesha kabisa imeshanitamani vya kutosha, basi nikawa narudi nyuma, yeye alipokuwa akinisogelea mimi nilirudi nyuma, ‘Swimming pool’ lilikuwa kubwa sana.


Wakati nikiwa narudi nyuma alikuja mdada Fulani makamo yangu, akanishika mabega na kuniongelea sikioni kabisa eti alikuwa akinisalimia, dada huyo alikuwa kama kigingi kwangu nikawa sirudi tena nyuma, Deo alikuwa akiendelea kunifuata mpaka akanikaribia kabisa, sasa yule dada naye alivyo mcharuko, akawa amepitisha mikono yake kiunoni mwangu kisha akamshika na Deo halafu akawa anamvuta Deo hali iliyotufany amimi na Deo kusogeleana kabisa.

“Mnaogopana, ndio siku ya kwanza nini?” alihoji dada huyo

“Aisha! Unawashwa eeh?”

“Kweli nawashwa lakini sikushindi wewe,”

“Haya nenda kwa Dani akakukune haraka,”

.


“Sawa kwaherini, mimi naenda kukunwa na Dani wangu..” dada huyo aliyeitwa Aisha sikujua lengo lake lakini kamchezo alichokafanya nilikapenda kweli.

“Simu yako inaita!” Deo aliniambia hivyo

“Kweli?” nilihamaki hivyo na kuangalia pembeni, simu zetu wote tuliziweka mahali pamoja katika vifaa maalum. Ilinibidi niende nikapokee, alikuwa ni Daina, rafiki yangu mwenye shahada ya uvuruge, tukasalimiana kisha akaanza kunipa mchapo,

“Mbona upo kwenye kelele, nilitegemea utakuwa nyumbani na mzee,” aliniambia hivyo

“Aah nimetoka kidogo, niambie sasa mchapo wenyewe wa moto moto kabla haujapoa,”

“Unavyopenda ubuyu mshenzi wewe! Sasa sikia bwana,”

“Si unajua shemeji yako hayupo!”

“Ndio, Najua..”

“Sasa bwana kuna mkaka alikuwa ananisumbua kitambo tu, nimemzungusha sana ila juzi akanikamata,”

“Enhee..ilikuwaje?”

“Kusema ukweli mimi nilikuwa na mizuka kweli, wiki nzima sijachezea dudu kojolea, sasa akajifanya anaumwa, si nikaenda kumwona nyumbani kwake alikopanga bwana!”

“Ukakojolewa sio?”

“Kimoja sasa! Mwanaume mashine!”

“Acha wewe!”

“Ndio hivyo! Jamaa alitumia nguvu mwanzoni, sasa si unajua tena ukiwa na hamu na dudu kojolea, aliponigusa tu kisambusa changu na kugundua nilikuwa nimelowa hakuniacha kwakweli,”

“Akaliweza hilo shindu ulilonalo maana na wewe rafiki yangu hiyo chura kama umeazima vile!”

“Unaongelea shindu! Yaani alilitepetesha mpaka nikasema usicheze na wanaume wembamba!”

“Enhee..mwanaume mwembamba tena!” nilihamasika maana Deo pia alikuwa mwembamba

“Alikuwa na bonge la dudu kojolea shosti, Yaani asingeniandaa vyema basi ningechubuka kama nini, lakini ilikua tamu…”

“Mmmh..kwahiyo mhemko wako umeisha?”

“Kabisaaaa..yaani hapa niko mweupeee..” ghafla simu ikakatika, akanitumia ujumbe kuwa dakika zake zimeisha. Basi nikarudi ndani ya maji mpaka kwa Deo,

“Una tabia mbaya..” aliniambia hivyo Deo, kama alikuwa akideka vile

“Kwanini jamani?”

“Umeniacha mwenyewe..” eti alikuwa akilalamika kuachwa mwenyewe.

Kichwani mwangu kilizunguka kile nilichoambiwa na Daina kuhusu wanaume wembamba kuwa na dudu kojolea kubwa. Basi nikasema ngoja nimchunguze Deo kama ni mmojawapo,

.

.

MWISHO




Blog