Search This Blog

Sunday, July 24, 2022

SHOO YA MSUKUMA

 



MTUNZI : GEOFREY MALWA




Kwa majina naitwa Maria Jamali, nina umri wa miaka ishirini na sita. Nilizaliwa peke yangu, mama yangu Janeth Kashua alishafariki tangu nikiwa darasa la nne, baba yangu mzee Wilson Jamali ndiye aliyenilea kwa kushirikiana na mama wa kambo. Kutoka kwa mama wa kambo nilipata wadogo zangu wawili mapacha, Erick na Erasmi Jamali, niliwapenda sana kwasababu walinivunja mbavu nikiwa karibu nao, walikuwa wakisoma kidato cha pili shule ya bweni.


Kazi yangu ya ualimu wa shule ya msingi ndio iliyotegemewa sana na tumbo langu. Familia yangu ilikuwa na kipato cha wastani hivyo msaada wangu haukuhitajika mkubwa sana. Kutoka moyoni niliipenda sana kazi hii, japokuwa ilijaa changamoto nyingi. Changamoto ambazo zingeweza kumfanya mtu anayejali maslahi pekee kuilaani na kuikimbia.


Baada ya kumaliza chuo cha ualimu mhonda mkoani morogoro mwaka 2013, nilipangiwa kituo cha kazi mwaka 2014, tulisubiri mwaka mzima nyumbani. Haikuwa furaha yangu tu ya kuwasili kituo cha kazi bali mpaka wazazi wangu, maana hakuna kitu kibaya kwa mwanamke kama kutokuwa na shughuli ya kujiingizia kipato, inakuwa ni rahisi sana kukamatwa na mikono inayoitwa ushawishi wa pesa.


Jiji la Tanga, wilaya ya korogwe ndiko nilikopangiwa ajira yangu ya kwanza. Jiji ambalo, kila kona linasifika kwa mapenzi. Nilizidi kumshukuru Mungu kwani sikupangiwa kijijini sana.

“Nimefika salama, vipi wewe?”

“Mimi pia. Ila nitakumisi sana mpenzi wangu,”

“Hunishindi mimi, natamani nikufuate,”

“Yaani! We acha tu…ila naomba unitunzie,”

“Usijali, tunda lako hata nzi hatotua laazizi wangu,”

“Nafurahi kusikia hivyo, wewe ndiye mama wa watoto wangu,”

“Ondoa shaka, nakupenda sana,”

“Nakupeda pia.” Yalikuwa ni maongezi kupitia simu ya kiganjani kati yangu na mpenzi wangu Samweli Mashinga niliyependa kumwita Sam kwa kifupi. Yeye alipangwa Dodoma. Tabia yake mbovu iliyonikera ni wivu uliopitiliza tena kwa mambo madogo sana, kifupi hakuwa muelewa.


BAADA YA MIEZI SITA


Tayari kila kona nilishaijui ya jiji la Tanga. Namshukuru Mungu kwani alinijaalia uzuri wa sura na umbo kwa upekee sana. Sikuwa mwembamba sana wala mnene,

.



vile vishimo vya chudo mashavuni mwangu na ile rangi ya kuteleza ya maji ya kunde iliwafanya wanaume kupanga foleni utadhani wanasubiri gari ya mshahara.

Huwezi amini, Sam alidiriki kuomba likizo ya siku saba kwa ajili ya kuja kuniona. Kilichomsumbua ni wivu wa kuhisi anaibiwa jiko lake tarajiwa. Kwavile nilikuwa nimepanga chumba kimoja tu na yeye ni mpenzi wangu, nilimkaribisha vyema, alipooga alikula kisha akapumzika. Akiwa amepumzika kichwani yalinijia mawazo mengi machafu, “hivi leo itakuwa ndondi tu uwanjani au vipi? Maana sidhani kama nitaachwa salama.” Nilijiuliza huku nikiwa nimeketi kwenye kochi la sofa nikiperuzi mitandao ya kijamii, yeye akiwa amepumzika kitandani.

Yalipofikia majira ya saa tau usiku, name nilikwenda kuoga kisha nikajifuta vyema, nikajitupia khanga yangu mwenyewe ndani kufuri la kizungu ikiwa ni silaha za mechi ya siku hiyo. Yeye alikuwa ndani ya bukta pana ya jezi juu vesti.

Muda ulizidi kusonga mbele, usingizi unakujaje kwa mfano! Ulikuwa ni mwendo wa mawazo machafu tu, tangu alipokuwa njiani, tulikuwa tukielezana jinsi tutakavyopambana vita yetu kwenye uwanja mdogo wa sita kwa sita kupitia jumbe fupi. Ghafla nilishtushwa na mkono wake kutua juu ya chura, “Huyu si alikuwa amelala!” nilijiuliza ambapo name niliigiza kupitiwa na usingizi. Lakini tatizo likawa ni ule mkono utadhani ulikuwa na shoti ya umeme. Akawa anautembeza kwenye chura yangu na kuthamini mfeleji wa suezi,

“Unajifanya umelala?” aliponiuliza, nikajikausha

Kwa makusudi akanibonyeza na kidole chake kwenye ubavu wangu, nilishtuka na kuumbuka kuwa sikulala. Tulipogeukiana, tuliwaiga njiwa na ukawa mwanzo wa vita tuliyokuwa tukiiongelea tangu akiwa kwenye gari. Mchezo wa njiwa ulileta mchezo wa urafiki kati ya mkono na mwili. Sijui mwenzangu ndio ugwadu au ndivyo alivyo, wala hakuufanya mwili wangu uwe tayari kwa mtanange, kufumba macho na kufumbua, kufuri la kizungu lilutupwa chini, akatoa msumari wake na kuanza kugongelea. Alinikera na kunitoa mchezoni kabisa, nilibaki nikimwangalia alivyokunja sura huku akiunguruma kama simba, uji mweupe alipoumwaga ikulu akajilaza pembeni. “Hivi kumsubiria kote kule, ndio nalipwa hivi?

.




Hata dakika haijaisha mtu ameshamaliza?” kwakweli Hamu ya kula ndizi moja na mayai mawili iliniisha kabisa.

Nilibaki nikimwangalia kwa hasira sana, nilitegema basi hata atajiongeza tuendeleze mtanange, alipumzika kwa muda wa dakika arobaini na tano, tulikuwa tukiongea hadithi zingine tu kuhusu kazi, laiti kama angejua nilivyokuwa nikimuwazia moyoni angejuta kuwa na mimi maishani mwake. Hata alipodai raundi ya pili, sikuweza kumkatalia, nilimwachia mwili huku akili ikiwa sehemu nyingine kabisa. Alipomaliza haja zake aligeukia pembeni na kujilaza kama gogo. “Mshenzi mwanaharamu wewe! Kumbe ndivyo ulivyo hivi! Ndio maana una wivu sana” nilijisema moyoni huku nikimtazama jinsi alivyokuwa amejilaza. Hapo ndipo nilipomkumbuka Dalia, rafiki yangu kipenzi, “Ukiona mwanaume ana wivu sana ujue kuna mambo hakutimizii ipasavyo” hivyo ndivyo alivyokuwa akiniambia tukiwa chuo, sikumwelewa mapema kwasababu sikuwahi kucheza shoo na Sam, hiyo ndio ilikuwa mara ya kwanza.

Yalipofika majira ya asubuhi, nilishtuka kuona kiumbe pembeni yangu maana nilishazoea kulala mwenyewe. Basi nilimwandalia kila kitu kisha mimi nikaenda kazini. Nikiwa kazini majira ya saa sita hivi, nilianza kumuwaza Sam na lile tukio la jana yake usiku. Nilimvua kofia ya ufundi wa sita kwa sita, kofia ikabaki hewani nisijue wa kumvalisha. Kisaikolojia nilipojijengea hivyo, sikufurahia hata shoo moja ya Sam akiwa jukwaani kwa siku zote saba, hata zile za asubuhi ambazo wapendwa huziita ‘morning glory’ hata alipoondoka nilikuwa kama nimetua mzigo japo yeye alifurahi sana.

Ulipopita mwezi mmoja, mawasiliano kati yangu na Sam yakaanza kupungua taratibu, nikawa namjibu kifupi iwe tukiwa tunatumiana jumbe fupi au hata kuongea. Alilalamika sana ila kusema ukweli hakuwa na nafasi kwangu, nilijua kabisa hawezi kuwa mwanaume nimtakaye, mwanaume atakayekuwa fundi hasa, akigongelea msumari, ikulu yote inashangilia, yaani hata ukiwa umechoka yeye awe ndio kwanza anaanza.

Kwa kazi ya ualimu, ilinibidi nijifiche mno maana mwalimu ni kioo cha jamii. Kofia ile ya ufundi wa sita kwa sita niliyomvua Sam, ilikuwa ikitafuta mtu wa kuivaa. Nikiangalia walimu wa kiume tunaofanya nao kazi,





alikuwepo mmoja makamo yangu ila alikuwa mweupe, na mimi sikupenda mwanaume mweupe.

Kila nililofanya nilimshirikisha Dalia, hata naye hakumpenda sana Sam. Basi Dalia alikuwa akinicheka kweli nilipokuwa namwambia namtafuta mtu wa kumvisha kofia ya ufundi wa sita kwa sita. Katika kunipa faraja ya kwamba nitampata ninayemtafuta, ikabidi aniingizie mfano wa kweli,

“Hivi unajua ninachomng’ang’ania shemeji yako ni nini?”

“Ndio uniambie shosti maana huwa hutaki hata tumzungumzie sana,”

“Ni mtaalamu usipime! Yaani nikimkuta na mwanamke mwingine nawaua wote.” Maongezi yetu hayo yalimalizwa na vicheko huku kichwani nikiwa nimeondoka na jambo Fulani.

Mitandao ya kijamii haikutosha kunifariji, mimi na Sam tulitafutana kwa manati kweli, ni kama tulishaachana bila kuambiana. Ni kweli kulikuwa na foleni tena watu wakijipanga wanaweza kujaza barabara ya morogoro mpaka tanga huko kwenye mitandao ya kijamii. Kwanza sikuamini kabisa kama kungeweza kutokea mtu kwenye mitandao ya kijamii akawa na mapenzi ya dhati.

Siku moja nikiwa natoka kazini, kuna kijana mmoja alinifuata, akanisimamisha name kwa ustaarabu nikasimama, alikuwa amevalia sare za mafundi gereji halfu hakufumnga vifungo hapa kifuani kwake kushuka mpaka kitovuni, namimi mawazo yangu yalivyoenda mbali nikajikuta nimeshamkadiria mpaka msumari wake na kasi yake ya kugongelea,

“Samahani dada,”

“Bila samahani,” nilipomwambia hivyo, zilipita sekunde tano bila kuniambia kitu

“Naona unapita, gari yako iko tayari,” alinishtua aliponiambia hivyo

“Gari yangu! Mi mbona sina gari!”

“He! Basi nitakuwa nimekufananisha, naomba unisamehe sana,”

“Usijali, tena umenitabiria mema,”

“Sawa, pindi niliyokutabiria yakitimia, utanipigia nije kukutengenezea au siyo jamani..” alizungumza kwa mtindo Fulani wa kurusha miguu yake mikono nikajikuta nimecheka bila kutarajia, alinikabidhi namba za simu alizoziandika kwenye karatasi kisha akaondoka, nikabaki natabasamu tu mwenyewe. “Huyu alikuwa amenifananisha au alikuwa na lake tu! Wanaume wana mbinu jamani, mpaka kunipakazia namiliki gari!” niliwaza hivyo moyoni kisha nikaendelea na safari yangu huku nikiperuzi mitandaoni.

.




Nilipofika tu gheto ukaingia ujumbe mfupi kwenye simu yangu, “Shemeji yako atakupigia msaidie, ni mgeni Tanga” nilipousoma ujumbe huo ulioutumwa na Dalia, nilimpigia simu ili anipe maelezo kwa ufasaha. Kumbe gari alilopanda liliharibika hivyo ni lazima angeingia Tanga majira ya usiku.

Basi kwavile chumba cha jirani palikuwa na bachela kama mimi anaishi, ikanibidi niongee naye ili shemeji yangu akichelewa kufika aje alale kwake. Basi sikulala mpaka ilipotimia saa tano hivi, nilikuwa nikichati na Dalia, pamoja na Shemeji yangu ambaye Dalia hakuniweka wazi kila kitu. Ibrahim ndilo lilikuwa jina la shemeji yangu na alinitajia yeye mwenyewe. Saa saba ndio akawasili korogwe, nikamwomba kaka wa jirani ambaye nilimwomba malazi kwa ajili ya shemeji yangu anisindikize stendi, nilizoea kumwita Ngosha,

“Shemeji au ndio mwenye mali?” alinihoji, tulizoeshana utani

“Ni shemeji yangu bwana, angekuwa mwenye mali si angelala kwangu na wewe!”

“Haya mi yangu macho.” Njiani tukawa tunaongea hivyo. Nilipofika Stendi nilimkuta huyu shemeji yangu, bonge la supa tolu, mweusi halafu hendsam. Kwavile tulikuwa tukiwasiliana kwa simu ilikuwa rahisi kumpata,

“Aisee nilikuwa naogopa wasije wakanikaba,” baada ya kusalimiana aliongea hivyo

“Uko na baunsa hapa, hawawezi kukukaba.” Nilimjibu hivyo na kumwacha akiwa anacheka tu.

Dalia ni kama alishika roho mkononi, alinichimba mkwara kwamba nikithubutu hata kumgusa kipenzi chake atanichinja. Hakumaanisha lakini wivu alikuwa nao.

Tulipofika nyumbani, nilimkaribisha kwa Ngosha, akahifadhi vitu vyake kisha nikampashia maji ya moto akaenda kuoga. Kwavile nilikuwa na taarifa yake, nilishamwandalia chakula ambacho Dalia alinielekeza kuwa Ibrahim anakipenda, ndizi nyama.

Baada ya kutoka kuoga, alibadili nguo na kuvalia penzi Fulani mdebwedo huku juu tisheti kubwa, nikamkaribisha chumbani kwangu kwa ajili ya kupata chakula. Akiwa anakula akapigiwa simu na Dalia,

“Nimechoka sana, tutaongea kesho ndio niko kitandani,” aliposema hivyo, alijilaza kitandani. Macho yangu hayakuelekea sehemu nyingine zaidi ya kwenye msumari, niliona pameumuka kidogo.



MWISHO



Blog