Search This Blog

Saturday, July 23, 2022

*FAHAMU UMUHIMU WA SHAHAWA (MANII)* *DARASA LA MAHUSIANO* Kawaida wanawake wengi kwa kukosa elimu ya ndoa huona kwamba shahawa kazi yake ni kuweka mimba tu na hali hiyo imepelekea kwa wanawake wengi pindi mume anapotaka kushusha mzigo basi utamsikia mke akisema usimwagie ndani akihofia mimba lakin hali hiyo hujitokeza katika nyakati nyingi hata siyo ule wakati unaohofiwa kwamba anaweza shika mimba tu. DOCTOR LOVE ❤ Shahawa (Manii) yana kazi nyingi sana kwenye mwili wa mwanamke na akizikosa baada ya kuwa alikuwa anazipata ndipo madhara huonekana hususan ikiwa alipatana na shahawa hizo za mume wake. Pamoja na kuwepo faida nyingi lakin pia siyo kila shahawa humpa faida hizo bali ikiwa hakupatana na shahawa za mume zinaweza pelekea mwanamke kukonda kila siku na kuathirika kisaikolojia ikiwa atakuwa anazipata. Na pia mwanamke anaweza akawa anateseka kila anapokojolewa ikiwa ana fangasi kwenye uke wake au ana michubuko yoyote kwasababu shahawa zinapotoka huwa za moto na wanasema wenyewe kwamba awapo na fangasi au michubuko huungua mithili ya mtu aliyewekewa pilipili kwenye kidonda. Hapa chini tumekuandalia faida 7 za Shahawa kwa mwanamke huenda ukajua na kuzifanyia kazi: FAIDA YA WANAWAKE KUKOJOLEWA NDANI SHAHAWA *DARASA LA MAHUSIANO* (1) Humtengeza mwanamke shepu yake. Shahawa zinapozunguka katika mwili huwa na virutubisho vingi vya protini,hivyo hupelekea kutengeneza shepu murua ya mke hasa pale anapopatana na shahawa hizo. (2) Humsaidia mwanamke kutengeneza ngozi yake kwa virutubisho vya shahawa na muda wote ngozi yake huonekana iko soft haina mabaka baka na sio kupaka usoni. (3) Humuongezea mwanamke urembo zaidi hasa wa macho. Macho yanakuwa meupe na mazuri zaidi. (4) Husaidia mwanamke kuwa na sauti nzuri zaidi kwa kuwa shahawa hutengeneza ala nzuriiii za sauti katika mfumo wa sauti. (5) Husaidia mwanamke kuwa na akili nyingi zaidi katika mfumo wa fahamu. Shahawa hukimbilia katika muundi wa mgongo na kumfanya mwanamke kuwa na mgongo na mifupa imara na milaini. (6) Humfanya mwanamke kutokuwa na tatizo la kupoteza fahamu na maradhi ya kuchekacheka.. (7) Husaidia kizazi cha mwanamke kisiwe na maumivu ya mara kwa mara.

Blog